Unaweza ukaona ni vigumu kufikiria
kidogo na kufanya kidogo lakini nakuhakikishia kuwa inawezekana. Ukiwa na
busara za kujaribu kwa kila jambo ulilinalo na kukuongoza kuelekea kwenye
urahisi, kutokuwa na mawazo, kufanya kazi kwa bidii zitakupelekea kupata
mafanikio. Zifuatazo ni hatua zitakazo kuongoza kufikia mafanikio yako;
Piga
hatua ndogo;
Anza kwa kujiwekea lengo na kufikia lengo lako. Piga hatua kidogo dogo kuelekea kwenye lengo lako ulilojiwekea. Usifanye mambo kwa papala ukajikuta vitu muhimu ulivyo takiwa kuvifanya haujafanya. Nenda hatua kwa hatua unapokosea rudia hata mara nyingi ilimradi uweze fikia lengo lako.

Kubali Makosa Madogo
Weka akilini kwamba ni rahisi kuosha kikombe kuliko ndoo. Kama ukifanya kosa dogo haitakuwa umekosea sana. Unaweza kutatua kosa hilo kwa urahisi na kwa uharaka zaidi kuliko ungekuwa umefikiria mawazo makubwa na pia kosa lingekuwa kubwa.

Tumia
Muda Mdogo
Wakati unasikia uchovu au wasiwasi wakufanya jambo Fulani usijifanye unaumwa kichwa na kuchukua siku nzima. Tenga muda mchache wa kufanya jambo hilo na ukimaliza uendelee na shughuri zako zingine. Lazima litakuwa tatizo dogo na wewe inakubidi uchukue muda mdogo kutatua tatizo hilo.

Tambu
Mabadiliko Madogo
Kama ulifikilia kidogo lazima yatajitokeza mabadiliko kidogo. Kwa kujiamini na hakika uwezo wako wa kufanya kazi utaongezeka. Utakuwa umeshajua urahisi unaopata na kulinganisha na wafanyakazi wengine. Utaona kwa kujifunza ujuzi mpya bila kujiangaisha na kuogopa. Uwezo wa kuongoza utaongezeka na utakuwa na uwezo wa kupata nafasi mpya na kuwa muangalifu wa kufanya kazi zako.

Pokea
Mafanikio Kidogo
Badala ya kutangaza matangazo makubwa na kulipa hela kubwa wee fikiria kidogo nakupata mafanikio kidogo ambayo yatafanya ofisi yako ipendeze na kuridhika kwa ulichokipata, Kwa tabasamu, pongezana kwa kushikana mikono na maneno ya kupeana moyo kwa kufanikiwa kwa kile mlichotegemea kukipata. Anza kwa kujikubali mwenyewe hata kama hakuna mtu yeyote aliyejua nini umefanya. Jipe zawadi ndogo kwa kazi uliofanya.

0 comments: