Siri Ya Mafanikio

Siri Ya Mafanikio
WASILIANA NASI KWA KUTOA USHAURI, MAFUNZO MBALIMBALI YA UJASIRIAMALI NA KUFICHUA SIRI YA MAFANIKIO KUPITIA Email; siriyamafanikio@gmail.com Au Phone; 0766912725

BIASHARA YA KUKU, BATA, VIFARANGA NA MAYAI KWA ODA PIGA NAMBA HII 0766 912725

BIASHARA YA KUKU, BATA, VIFARANGA NA MAYAI KWA ODA PIGA NAMBA HII  0766 912725
Showing posts with label HABARI MBALIMBALI. Show all posts
Images

KWA NINI MIGOGORO YA KIFAMILIA INAZIDI BADALA YA KUPUNGUA…!!! SOMA HAPA




Migogoro ya kifamilia ni changamoto kubwa na hutokea pale mwanafamilia anapokuwa na mtazamo tofauti wa mawazo na mwanafamilia mwingine. Mara nyingi migogoro ya familia hutokea kwa misuguano midogo na kukimbilia katika uamuzi usiofaa.

Images

Rafiki Zangu Wananishinikiza Nifanye Mambo Mabaya...!!!! Jinsi gani ya kujinasua kutoka kwenye vishawishi.... Soma hapa




Unachoweza kufanya

Kwanza, tambua kwamba utawajibika kwa yote unayotenda—hata iwe rafiki zako wanafanya nini.

Pili, tambua ni nani hasa wanaokushinikiza.

Images

Siri mbili ambazo watu wengi hawajui...!!! Soma hapa...




Siri ya 1: Unapotoa, huenda utapata pia!
Watu watatambua kwamba wewe ni mkarimu. Kwa sababu hiyo, huenda watakuonyesha ukarimu.

Images

Je..!!! Nataka Kuacha Shule kwanza Unahitaji kufikiria mambo yafuatayo..... Soma hapa...

MWI-Lilongwe-1203-037-v1 (anthonyasael) Tags: africa unicef school girls boy portrait people black cute boys girl smile smiling horizontal kids writing notebook children happy reading chalk kid student uniform child emotion classroom affection desk african board happiness southern portraiture malawi program friendly learning anthony afrika teaching schoolchildren lesson studying blackboard primary pupil schoolage pupils schoolboy schoolchild cfs lilongwe emotionally topb asael


Ni kiwango gani cha chini zaidi cha elimu kilichowekwa na sheria katika eneo lenu? Umefikia kiwango hicho? Ukipuuza shauri la ‘kujitiisha kwa mamlaka zilizo kubwa’ na kukatiza masomo yako kabla ya kufikia kiwango kilichowekwa na sheria, basi unaacha shule.

Images

Kama wewe mwanafunzi inakuhusu hii...!!! Soma hapa...




Kusudi la msingi la elimu ni kukutayarisha kupata kazi itakayokusaidia na kuisaidia familia ambayo huenda ukawa nayo wakati ujao. Umeamua ni aina gani ya kazi unayotaka na jinsi wakati unaotumia shuleni unavyoweza kukusaidia kujitayarisha kwa ajili ya kazi hiyo?

Images

Siri ya kuvaa nguo yenye rangi nyeupe ni ishara ya usafi wa mtu ndani, halisi, uwazi, urahisi au wepesi, ufanisi..!!! Soma hapa




Rangi nyeupe inaonyesha usafi wa mtu rohoni, utayari wa kusaidia watu wengine, amani ya mtu kwa watu, yaani mambo yapo salama, pendelea kuvaa nyeupe wakati wa ibada za kufunga, meditation, sherehe za kusaidiaa watu wenye shida, sherehe  na matukio yanayo maanisha amani.

Images

Dhamira zako zifanye siri sio kuweka wazi kwa kila mtu kuzijua...!!!!!!!!! Soma hapa...



Hakikisha watu hawakuelewi kwa dhamira zako au sababu ya kile unachokifanya. Kama hawafahamu nini unataka kukifanya, ni dhahiri watakuwa hawana nguvu ya kukufanya lolote. 


Hakikisha unawapotosha wasijue mipango yako na wakati watakapofahamu dhamira yako, watakuwa wamechelewa kwani utakuwa tayari umeikamilisha. 

Images

Je..!! Wajua tofauti ya watu wakimya na waongeaji…!!! Soma hapa kujua tofauti yao…



Binadamu wakimya, wanaona aibu kuzungumza mbele ya binadamu wengi ingawa wanapenda kufanya mambo kwa vitendo. Wanaelewa zaidi kwa vitendo na hawaamini kwa urahisi kile wanachokisikia bila kuona vitendo.

Images

Chagua wema na ukarimu utakaowavunja nguvu maadui zako...!!! Soma hapa...




Jambo moja jema hufukia mabaya mengi yaliyofanywa na mtu. Wema na ukarimu unaofanywa kwa moyo mkunjufu humvutia hata mtu aliyekuwa na wasiwasi na wewe.

Images

Siri ya kuvaa nguo nyekundu Inatoa ishara ya hisia kali,amri,nguvu,amri,uchokozi...!!!! Soma hapa...

http://www.hindustantimes.com/Images/popup/2013/5/vidya red.jpg


Hii rangi hutumika sana sana katika shughuli za kiutawala katika kutoa amri au kusisitiza jambo Fulani lifanyike upesi na kimakini sana, mfano bosi ofisini anaweza toa amri kwa wafanyakazi wake ofisini jambo Fulani lenye tarehe ya makubaliano lifanyike upesi au katika jambo ambalo kama vile watu hawataki Huku amevalia tai nyekundu.

Images

Pata kujua siri ya nguo ya rangi ya blue ni hisia zako za kweli, Uaminifu, upole au utulivu wa ndani wa mtu...!! Soma hapa



Mawasiliano juu ya hisia zako za kweli, Uaminifu, upole au utulivu wa ndani wa mtu, wajibu, utii, mantiki, huruma.

Ni  rangi ya ulizi hii ni rangi muhimu sana ya wewe uonewe huruma na watu wengine, mathalani hutumiwa kwenda kuomba kazi kwa kampuni mbalimbali ni vema ukavaa tai ya blue kipindi cha interview, 

Images

Ukichunguza kwa makini watoto mbumbumbu darasani ni wale ambao wazazi wao hawakuzingatia mambo yafuatayo...!! Soma hapa

Yourng girl doing homework with her mother

Ukichunguza kwa makini watoto wengi wanaokuwa mbumbumbu darasani (nazungumzia wale wasiokuwa na kasoro za kibaiolojia) ni wale ambao wazazi wao hawakuzingatia mambo yafuatayo katika kuwalea tangu walipokuwa wadogo hadi kukua kwao.

Images

Angalia maigizo haya kipato cha mtanzania wa kawaida kwa mwaka ni laki 7 lakini wajumbe wa katiba wanataka laki 7 tena kwa siku.. Duuuuu..!!!!




Kumekuwa na malalamiko mengi baada ya wajumbe wa katiba kutaka kuongeza posho zao ambazo hapo awali zilikuwa ni laki 3 kwa siku na sasa wanataka kuongeza mpaka laki 7 kwa siku kwa pesa za kitanzania. 

Hili swala limeleta mtafaruku mkubwa kati ya wananchi na wabunge hao wanaotaka kutumia vibaya hela za walipa kodi.

Images

Je..!!! Wajua mateso na manyanyaso ya watoto wa nje na walezi wao.. Soma hapa kwa undani zaidi



Natumaini hapo ulipo msomaji wangu utaendelea kufanya uchunguzi wako na hakika utabaini matatizo mengi yakiwemo pia ya urithi wa mali. Lakini wakati ukifanya hivyo ni vyema tukajifunza ufumbuzi wa matatizo ya watoto wa kambo kwa kuangalia yafuatayo:

Images

Porojo na Umbea umeshakuwa mitaji ya watu hapa kwetu.. Soma hapa kwa undani wake..!!




Porojo na Umbea inaweza kufanya maisha yako yaonekane kama sinema. Karibu kila siku unaweza ukasikia porojo kukuhusu wewe, uvumi kwamba una mimba, umetoa mimba mara kadhaa, ama ni mlanguzi wa dawa za kulevya  na wewe hutumia dawa za kulevya. Watu wanasema mambo kama hayo kukuhusu?

Images

Tabia za wanafunzi wawapo shuleni ni kutekwa akili zao bila wao wenyewe kujua kwa kufuata tabia za kimakundi.. Soma hapa



Uchunguzi unaonyesha kwamba wanafunzi wengi hubadilika kitabia wanapokuwa masomoni. Hii ina maana kuwa wazazi wanaweza kujitahidi kumuandaa mtoto wao lakini wakajikuta wanapata matokea ambayo hawakuyatarajia.

Images

Pata kujua Vipingamizi 10 Vitakavyoweza kumfelisha Mwanafunzi katika Masomo yake..!! Habari kamili soma hapa..




UMASIKINI
Umasikini ni kikwazo kikubwa cha mafanikio ya wanafunzi kimasomo, lakini tunashauri kwamba kila mwanafunzi anayetoka katika familia masikini ajitambue na awe tayari kuishi sawa na kipato cha familia yake wakati akitafuta elimu.

Ni muhimu kwake kubana matumizi na asiwe mtu wa kujihukumu kwa kukosa hili na lile, awe mvumilivu na mwenye kuomba msaada kila sehemu anayoona hawezi kuivuka kwa nguvu zake. Uaminifu, bidii na utii unaweza kumsaidia kuvuka kikwazo hiki.