Binadamu wakimya, wanaona aibu kuzungumza mbele ya binadamu wengi ingawa wanapenda kufanya mambo kwa vitendo. Wanaelewa zaidi kwa vitendo na hawaamini kwa urahisi kile wanachokisikia bila kuona vitendo.
Binadamu waongeaji, wanapenda sana kuzungumza na kubishana mbele ya wengine hata kama hawana uhakika juu ya kile wanachokibishia. Ni wepesi wa kuamini maneno ya wengine bila kutafakari kwa kina na hupotoshwa kirahisi. Ni wagumu wa kuonesha vitendo juu ya yale wanayoyasema.
0 comments: