Hakikisha watu hawakuelewi kwa dhamira zako au sababu ya kile unachokifanya. Kama hawafahamu nini unataka kukifanya, ni dhahiri watakuwa hawana nguvu ya kukufanya lolote.
Hakikisha unawapotosha wasijue mipango yako na wakati watakapofahamu dhamira yako, watakuwa wamechelewa kwani utakuwa tayari umeikamilisha.
0 comments: