Ifahamike Kwamba, Kufanya Mapenzi Licha Ya Kwamba Unatumia Nguvu Na Akili Lakini Ni Sehemu Ya Kustarehe. Ndiyo Maana Wengine Baada Ya Kumaliza Shughuli Zao Za Siku Nzima Badala Ya Kwenda Baa,
Moja Kwa Moja Wanakwenda Nyumbani Na Wakifika Huko Wakioga Wanaweza Kutumia Muda Mwingi Kitandani Na Wenza Wao.
Kwa Maana Hiyo Kukutana Faragha Isichukuliwe Kama Kitu Kitakachokufanya Uzidi Kuchoka Bali Kwa Kutumia Kanuni Sahihi, Uchovu Hauwezi Kuwa Sababu Ya Kutomtimizia Mwenzake Haki Yake Ya Ndoa.
0 comments: