Ukiwa na uhuru wa kipato maana yake
unamiliki maisha yako Je, nini maana ya kumiliki maisha? Na je.! Nini maana ya
maisha
Ukiondoa masaa yako ya kulala, muda
wa kusafiri, muda wa kazi na muda wa kufanya vitu vingine ambavyo mtu unaweza
kuvifanya kila siku katika maisha yako,
Utajikuta huna zaidi ya saa moja
hadi masaa mawili kwa siku kwa ajili ya kufanya vitu ambavyo unavipenda wewe
kuvifanya katika maisha yako. Jaribu kufikiri endapo ungekuwa na pesa ya kutosha
kukusaidia kufanya hayo yote ingekuwaje?
Toa maoni yako hapa chini….
0 comments: