Uzoefu
wako katika ujasiriamali na uwajibikaji.
a. Tathmini kiwango
chako cha elimu na uzoefu wako unaohusiana na wazo lako la biashara na mahusiano
uliyo nayo na wadau muhimu kisekta wewe kama mjasiriamali.
b. Tathmini kuhusu
wataalam wa fani mbalimbali ambao utahitaji kuwatumia katika maeneo ambayo wewe
si mtaalam wala mzoefu ili kufanikisha uanzishaji na uendeshaji wa biashara yako.
c. Kwa ufupi
tathmini nia/malengo yako ya kutimiliza kuanza na kukua kwa biashara ukizingatia
muda utakaotumia kupanga, muda unaokusudia kutumia katika mradi, kiwango cha fedha
za kwako mwenyewe unachoridhia kuweka katika mradi n.k.
0 comments: