WASILIANA NASI KWA KUTOA USHAURI, MAFUNZO MBALIMBALI YA UJASIRIAMALI NA KUFICHUA SIRI YA MAFANIKIO KUPITIA Email; siriyamafanikio@gmail.com Au Phone; 0766912725
BIASHARA YA KUKU, BATA, VIFARANGA NA MAYAI KWA ODA PIGA NAMBA HII 0766 912725
Mwanamke anafananishwa
na meli ya biashara kwa sababu meli ya biashara inachukua bidhaa mbali mbali
ndani yake, Mwanamke amebeba majukumu mengi sana katika maisha yake, mwanamke
huyu ni:-
Migogoro
mingi baina ya walio kwenye uhusiano husababishwa na wenzi kutowafahamu vyema
wenzao. Usiingie katika mkumbo huu, ni suala la kujieleza tu. Kumweleza mpenzi
wako ulivyo, kutamfanya ajue vitu unavyopenda na usivyopenda. Aidha, kama unao
udhaifu wowote wa kiafya na kadhalika, mweleze mwenzako.
Hapa ndipo watu wanapotakiwa kutumia akili zao mpaka zile za akiba, ukikosea
hapa ni rahisi sana kuvurunda hapo baadaye. Uhusiano wenye nguvu, hujengwa na
penzi la kweli. Acha kukurupuka, lazima ujihakikishie kwamba uliyenaye ni
chaguo kutoka ndani ya moyo wako.
Kila kitu huanza na kitu Fulani hata kama ni kidogo sana,
kuwa na duka kubwa la bidhaa huanza na mtaji mdogo sana ambao maamuzi yake
hutegemea na malengo na vipaumbele vya mfanya biashara, mwenye duka angeweza
kuutumia huo mtaji kataka matumizi ya nyumbani au kuchangia harusi ya rafiki
yake na asiwekeze katika duka.
Kufaulu ama kushindwa kwa biashara
kuna tegemea mambo mengi. Kwanza huenda ikawa tatizo la aina ya biashara
yenyewe nikiwa na maana kwamba ni biashara ambayo si endelevu.
Kila wakati kumbuka kuwa “Hata wao
walianza kama sisi” nasi ipo siku tutakua kama wao na zaidi ya wao, kielimu,
kimaisha, kiuchumi, kiutamaduni, kimichezo, kibiashara n.k kwani wao nao ni
binadamu kama sisi; asiwepo mtu wa kuvunjwa moyo na kukatishwa tamaa na mtu
awaye yote,
Kama
Huishi Na Mpenzi Wako Ni Jambo La Kawaida Kuwa Na Hamu Ya Kumwona Mara Kwa
Mara, Lakini Kumbuka Kuwa Mpenzi Wako Naye
Ana Maisha Yake Na Anahitaji Nafasi Ya Kuwa Peke Yake Kwa Ajili Ya Mambo Yake
Binafsi.
Migogoro
ya kifamilia ni changamoto kubwa na hutokea pale mwanafamilia anapokuwa na
mtazamo tofauti wa mawazo na mwanafamilia mwingine. Mara nyingi migogoro ya
familia hutokea kwa misuguano midogo na kukimbilia katika uamuzi usiofaa.
Penda
Kujiona Mtu Nambari Moja Kwa Ubora Kwa Sababu Mungu Aliona Una Umuhimu Ndiyo
Maana Akakuumba. Linda Thamani Na Heshima Yako, Usikubali Mapenzi Yakuondolee
Nguvu Ambayo Mfalme Wa Mbingu Na Ardhi Amekupa.
Tanzania Postal Bank (TPB) seeks to appoint
dedicated, self motivated and highly organized Manager, Credit Risks (1
position) to join the Risk Management and Compliance team. The person will be
responsible with Maintenance of quality loan portfolio of loan Portfolio by
ensuring processing of loans follow the required procedure and comply with
approved credit policy. Timely Credit Risks mitigation of loan applications and
propose best approach of improvement to the acceptable standards. The
successful candidate will always be required to sign performance objectives at
the beginning of the year and reviewed semi-annually.
Anakuwa
Ni Mtu Wa Kukununulia Mapambo Ya Gharama Na Vitu Vyote Vya Anasa, Lakini Hana
Mawazo Ya Kuzungumzia Maisha Yenu Ya Baadaye Wala Kukununulia Vitu Ambavyo
Vitakuwa Na Manufaa Katika Maisha Ya Mbeleni.
Wazo au ndoto isiyo na mkakati wa kuitimiza ni
upuuzi yaani ndoto hiyo au wazo hilo halina maana, hivyo basi ndoto yako ya
kujiajiri siku moja, ni lazima iwekewe mkakati wa kuifanikisha ikiwa ni pamoja
na muda hasa wa lini utaitimiza hiyo ndoto.
Kama Hujawa Tayari Kupenda,
Kunyenyekea Na Kuheshimu Ni Vizuri Ukakaa Pembeni Kwa Sababu Unaruhusiwa
Kucheza Game Na Mtu Lakini Ni Kosa Kubwa Kucheza Game Na Moyo Wa Mtu.
Hata Hivyo, Nilitaka Kila Mtu Awe
Makini Anapokuwa Anaingia Kwenye Uhusiano Wa Kimapenzi Na Mtu. Anapaswa
Kujihakikishia Upendo Kutoka Moyoni Badala Ya Kujaribu.
Baada
ya kuacha kuajiriwa, hautarajii kuwa mtu wa ‘kuganga njaa’ yaani kufanya
biashara ili mradi tuu hela iingie, lakini haujui mwelekeo wa biashara yako
upoje, na wala hakuna mkakati wa kuikuza na kuimarisha biashara husika.
Mwanamume
Asiye Na Mpango Wa Kuendelea Kuwa Nawe Anapokuwa Amekutongoza Na Pengine
Mmekutana Mara Moja Au Mbili, Atakutaarifu Kwa Kuendelea Kuwasiliana Na Mpenzi
Wake Wa Zamani.
Umewahi
Kujisikia Kuwa Na Utayari Wa Kufa Kwa Ajili Ya Mpenzi Wako? Kama Jibu Ni
“Ndiyo”, Basi Fahamu Kwa Hakika Kuwa Hayo Uliyo Nayo Si Mapenzi Bali Ni
Upumbavu. Pengine Huku Ndiko Kunywesha Sumu Ya Mapenzi.
Utafiti unaonyesha wanaume wanaokunywa kahawa
kwa wingi wana nafasi nzuri ya kuepuka kensa ya tezi la kibofu cha mkojo Kahawa
ni kinywaji kikubwa katika nchi za Afrika Mashariki kama Tanzania, Kenya...
Tengeneza orodha ya vitu
anavyotaka kufanya siku ya leo asubuhi ukiamka. Mara nyingi unapaswa kujua
mambo ambayo ni ya lazima kuyafanya kwa siku ambayo unaianza ili ikifika jioni
usiwe na viporo.
Dhana
Ya Mapenzi Duniani Kote Inaelekeza Kwamba Asili Yake Ni Moyoni. Hii Ina Mantiki
Kuwa Ndani Ya Kila Mtu Kuna Vitu Ambavyo Anahisi Kuhitaji Mwenzi Wake Awe
Navyo. Sura, Umbo Na Tabia.
Kume
kuwa na wimbi kubwa sana la vijana kutaka kutajirika haraka haraka bila
kujishughulisha na biashara halali ambazo zitawafanya wapate mafanikio yaliyo
halali wanataka kulala maskini na kuamka tajiri kitu ambacho hakiwezekani kama
hauna kitu kitakacho kuingizia kipato.
MJASIRIAMALI NA MFANYABIASHARA Ni ukweli ulio wazi kuwa si kila anayeuza au mfanyabiashara
ndogo ndogo ni mjasiriamali. Imekuwa ni fashion kwa sasa nchini tangu nchi
ijiunge katika mfumo unoangozwa na soko kwa kila muuzaji wa bidhaa na mtoaji wa
huduma kujiita mjasiriamali.
Mahusiano
Ya Kimapenzi Mara Nyingi Huhusisha Kila Mmoja Kuacha Baadhi Ya Mambo Yake Kwa
Ajili Ya Mwenzake. Hata Hivyo, Lengo Ni Kuweka Tu Uwiano Wa Mahitaji,
Watu wanaotaka kufanikiwa huchukulia
ushindwa kama hatua ya kuelekea kwenye mafanikio, lakini watu wasioweza
kufanikiwa wanapojaribu mara moja au mbili kuvuka kikwazo fulani cha kimaisha
na kushindwa hukata tamaa na kutotaka kujaribu tena kusonga mbele.
Mabusha ni hali ya kujaa maji kwenye mfuko wa
korodani. Hali hii hutokea kunapokuwa na mkusanyiko wa maji kati ya tabaka
mbili za utando unaozunguka korodani.
Ni Wazi Kuwa Hata Kama Wewe Ni Mzuri Kiasi Gani, Unavaa Na Kupendeza Kwa
Namna Bora Kabisa Lakini Mwenzi Wako Hawezi Kukupa Pongezi Kwa Sababu Ana Lake
Kichwani.
Utafiti uliofanywa na Chuo Kikuu cha Havard
nchini Marekani, umegundua kwamba watu wanaopenda kula nyama kila siku wako
hatarini kupatwa na saratani ya utumbo kuliko wale wanaokula mara moja moja.
Vyakula vyote vinavyopikwa kutokana na unga
uliokobolewa na kuondolewa virutubisho vyake vyote na kuwa mweupe, vinaelezwa
kuchangia magonjwa ya saratani kwa kiasi kikubwa. Vyakula hivyo ni pamoja na
‘donati’ (doughnuts), maandazi, mkate mweupe, n.k
Huu ni ugonjwa wa ngono unaosababishwa na
bakteria.
Dalili;
Mgonjwa wa Kaswende hupata mwasho mkali sehemu za siri na kupata vijeraha
vidogo vidogo sehemu hizo na akikaa sana na ugonjwa huo bila kutibiwa huweza
kuathirika sehemu zingine za mwili kama vile, Moyo, ubongo na hatimaye
kusababisha kifo.
Hakuna
Mtu Mwenye Lengo La Kukuvunja Moyo, Lakini Ujumbe Ulio Dhahiri Ni Kwamba, Kama
Unafikiria Uhusiano Wa Kudumu Na Mtu Kisha Akawa Anaonesha Ishara
Zilizobainishwa Hapa,
Jambo linalosababisha
biashara zisiendelee ni pale mhusika anaposhindwa kupata soko la uhakika.
Unaweza kuzalisha bidhaa za viwango vya juu pamoja na kutafuta masoko kwa
wingi, lakini ukawa hauna soko la uhakika.
Waweza kufurahia vyakula vyote unavyopenda, kuwa na
afya nzuri na kupunguza uzito wa mwili ambao hauhitajiki kwa kula chakula
chenye nguvu na ladha nzuri, kilichojaa vitu viwili muhimu vya asili ambavyo ni
asali na mdalasini.
Ifahamike
Kwamba, Kufanya Mapenzi Licha Ya Kwamba Unatumia Nguvu Na Akili Lakini Ni
Sehemu Ya Kustarehe. Ndiyo Maana Wengine Baada Ya Kumaliza Shughuli Zao Za Siku
Nzima Badala Ya Kwenda Baa,
Nilipokuwa na umri wa miaka 16, sikupendezwa hata kidogo na uzito wangu.
Sijawahi kuwa mnene kupita kiasi. Mimi ni mnene kiasi tu. Nilijiambia kwamba
ikiwa ningekuwa mwembamba, vijana wangenipenda. Kwa hiyo nilijinyima chakula
ili niwe na mwili wenye kupendeza.
Mjasiriamali
lazima aende na wakati iliaweze kutambua mabadiriko mbalimbali yanayo jitokeza
katika masoko na uzalishaji wa bidhaa kwa ujumla. Kwenda na wakati hakutampa nafasi
mjasiriamaili kuachwa nyuma katika ushindani wa kibiashara.
Mwanamume Asiye Na Mpango
Wa Kuendelea Kuwa Nawe Katika Uhusiano, Hujitahidi Kuepuka Watu Kuwaona Pamoja.
Ni
Kweli Kuwa Si Vijana Wote Wa Kiume Wanaopenda Mapenzi Ya Maonesho Ya Kushikana
Mikono Wanapotembea, Lakini Kama Ameridhika Nawe Lazima Tu Kwa Kiasi Fulani
Atataka Umma Ujue.
Ili uweze kujibu swali hilo, unahitaji kujielewa vizuri. Kwa mfano, fikiria
mambo yafuatayo:
Mahusiano. Wewe huwatendeaje wazazi wako
na ndugu na dada zako? Je, mara nyingi wewe hushindwa kujizuia unapokuwa nao,
labda hata kuzungumza kwa ukali au kwa kejeli?
Ni kiwango
gani cha chini zaidi cha elimu kilichowekwa na sheria katika eneo lenu? Umefikia
kiwango hicho? Ukipuuza shauri la ‘kujitiisha kwa mamlaka zilizo kubwa’ na
kukatiza masomo yako kabla ya kufikia kiwango kilichowekwa na sheria, basi
unaacha shule.
Ni
vizuri kujizoesha kutafakari kuhusu wewe ni nani, mapungufu yako, mambo gani
makubwa na mazuri uliyokwisha wahi kufanya, na vitu gani hasa unavipenda na
usivyovipenda.
Mwanamume
Akikupenda, Hususan Vijana Katika Zama Hizi, Lazima Tu Atakutambulisha Kwa
Marafiki Zake, Maana Atakuwa Anajisikia Fahari Kwa Kufanya Hivyo, Hususan Kama
Anahisi Wewe Ni Mwanamke Maridadi.
Kusudi la
msingi la elimu ni kukutayarisha kupata kazi itakayokusaidia na kuisaidia
familia ambayo huenda ukawa nayo wakati ujao. Umeamua ni aina gani ya kazi
unayotaka na jinsi wakati unaotumia shuleni unavyoweza kukusaidia kujitayarisha
kwa ajili ya kazi hiyo?
Mjasiriamalia
lazima awe na uwezo wa kuongoza na kutoa maamuzi. Baadhi ya watu wanadai
uongozi ni kalama ombayo mtu anazaliwa nayo au anapewa na Mungu, ni kweli
mtu anaweza kuzaliwa na kipaji cha kuongoza, lakini mtu anaweza kujifunza na
akawa kiongozi mzuri.