WASILIANA NASI KWA KUTOA USHAURI, MAFUNZO MBALIMBALI YA UJASIRIAMALI NA KUFICHUA SIRI YA MAFANIKIO KUPITIA Email; siriyamafanikio@gmail.com Au Phone; 0766912725
BIASHARA YA KUKU, BATA, VIFARANGA NA MAYAI KWA ODA PIGA NAMBA HII 0766 912725
Jipime umefanya nini
kujenga mafanikio. Baada ya mihangaiko ya hapa na pale, kule na huko wakati
mwingine kushindwa hata kulala au kuhatarisha maisha yako katika safari
mbalimbali, jiulize je, umefanikiwa kupata kile ulichotaka?
kubishana
sio ukorofi inategemea mnabishanaje na kuhusu nini? Katika hali halisi
kubishana kwenye uhusiano kunahashiria afya ya uhusiano wenu....ikiwa kuna watu
wanaishi pamoja kama wapenzi na hawajawahi kubishana basi ni either
wanadanganya au mmoja wao anamuogopa mwenzie.
Jitengenezee
soko lako maalum. Kama ungependa biashara yako ifahamike kati ya biashara
nyingine ni muhimu kuwa na soko lako maalum linaloeleweka. Hii ni njia ya pekee
ya kukutofautisha na washindani wako.
Jijengee
mazingira ya kupata faida endelevu. Ikiwa unafanya aidha biashara ya huduma au
bidhaa, ni muhimu kutathmini bei ya bidhaa uliyopanga ili kupata faida
endelevu. Jiulize je bei uliyopanga inaendana na uhalisia katika soko?
Katika maisha, hakuna kinachoshindikina kama kweli
utaamua kwa dhati kukipata. Kinachochangia watu wengi kutotimiza kile
wanachokitaka maishani, ni kutodhamiria kwa nia na nguvu zote kufuatilia
malengo yao.
Fanya kazi kwa bidii na kwa malengo ili uwe na maisha mazuri. uvivu wa kufikiri na wa kufanya
kazi unakwamisha maendeleo. tazama watu wote waliofanikiwa wanafanya sana kazi
kwa bidii.
Uchumi ni sekta ambayo huchochea kwa namna moja au nyingine
maendeleo ya mwanaadamu. Biashara ni moja ya sehemu kuu ya uchumi na
maiongiliano makuu ya uchumi hupatikana kwa kupitia biashara,miradi na kwa
ujumla Ujasiriamali. Kufanya ujasiriamali ni moja katika njia za kujipatia
kipato.
Miongoni mwa vitu hatari pia kwenye
mahusiano ni pamoja na hili la usiri wa kupitiliza. Kama una vitu moyoni na upo
kwenye mapenzi/mahusiano bora kabisa si vizuri kuvificha na hasa vile
vinavyohusiana na mapenzi yenu moja kwa moja.
Ukiwa mwanaume au
mwanamke upigaji sopusopu ni jambo la busara sana ili kukuweka mtanashati na
mwenyekuvutia muda wote kwa kuondoa uchafu na pia kuondoa mafuta ambayo yana
kawaida ya kutanda katika sura. Kitendo hicho huitwa scrub. Husaidia kuondoa chunusi, vipele
na makovu na pia inapunguza mafuta usoni.Uso
unapokuwa na mafuta sana na kuyaondoa kunasaidia kupunguza vitu vingi pamoja na
vipele na hata mabaka yaliyosababishwa na vipele au chunusi.
a. Tathmini kiwango
chako cha elimu na uzoefu wako unaohusiana na wazo lako la biashara na mahusiano
uliyo nayo na wadau muhimu kisekta wewe kama mjasiriamali.
Angalia uwezekano wa biashara yako kuendelea
na kukua (jibu yafuatayo)
a. Utawafikiaje
walengwa wa biashara yako (Ni kwa vipi walengwa wako watajua kuhusu bidhaa na
huduma zako)?
b. Utasambazaje/
fikishaje bidhaa/huduma zako (Bidhaa zako zitafikaje kwa wauzaji wa rejareja au
huduma zako zitafikaje kwenye maeneo uliyokusudia na maeneo hayo ni yapi)?