Siri Ya Mafanikio

Siri Ya Mafanikio
WASILIANA NASI KWA KUTOA USHAURI, MAFUNZO MBALIMBALI YA UJASIRIAMALI NA KUFICHUA SIRI YA MAFANIKIO KUPITIA Email; siriyamafanikio@gmail.com Au Phone; 0766912725

BIASHARA YA KUKU, BATA, VIFARANGA NA MAYAI KWA ODA PIGA NAMBA HII 0766 912725

BIASHARA YA KUKU, BATA, VIFARANGA NA MAYAI KWA ODA PIGA NAMBA HII  0766 912725
Images

Siri ya kuvaa nguo nyekundu Inatoa ishara ya hisia kali,amri,nguvu,amri,uchokozi...!!!! Soma hapa...

http://www.hindustantimes.com/Images/popup/2013/5/vidya red.jpg


Hii rangi hutumika sana sana katika shughuli za kiutawala katika kutoa amri au kusisitiza jambo Fulani lifanyike upesi na kimakini sana, mfano bosi ofisini anaweza toa amri kwa wafanyakazi wake ofisini jambo Fulani lenye tarehe ya makubaliano lifanyike upesi au katika jambo ambalo kama vile watu hawataki Huku amevalia tai nyekundu.

Images

Hizi ndizo Faida za mwanga wa jua kwa afya ya binadamu…!!! soma hapa..




Faida za mwanga wa jua ni nyingi:

1. Dakika kumi na tano hadi 30 za kupata mwanga wa jua kila siku katika ile sehemu ya mwanzo ya asubuhi au baadaye mchana alasiri husaidia mwili kukusanya pamoja au kutengeneza Vitamini D yake wenyewe, kirutubisho muhimu/homoni ndani ya ngozi.

Images

Jinsi macho na mdomo wa mwanamke unavyoweza mvutia mwanaume....!!!!! saoma hapa kwa undani zaidi...

Just spotted a miserable man: Women are least attracted to smiling men, instead preferring those who looked proud and powerful, or moody and ashamed


Wanawake wengi wenye kujua kuchezea macho na midomo yao wamekwa sumaku kubwa kwa wapenzi wao ama kwa wanaume wanaowahitaji.

Wanawake wenye ujuzi wa kuzuga wamekuwa wakifanikiwa kuwanasa wanaume wengi kutokana na ujuzi wa kutumia viungo vyao walivyopewa na Mungu.

Images

Pata kujua siri ya nguo ya rangi ya blue ni hisia zako za kweli, Uaminifu, upole au utulivu wa ndani wa mtu...!! Soma hapa



Mawasiliano juu ya hisia zako za kweli, Uaminifu, upole au utulivu wa ndani wa mtu, wajibu, utii, mantiki, huruma.

Ni  rangi ya ulizi hii ni rangi muhimu sana ya wewe uonewe huruma na watu wengine, mathalani hutumiwa kwenda kuomba kazi kwa kampuni mbalimbali ni vema ukavaa tai ya blue kipindi cha interview, 

Images

Hapa Ndipo Mwanaume Mwerevu Anatakiwa Kufahamu Siri Zilizopo Moyoni Mwa Mpenzi Wako..!!! Soma hapa..

business-couple-arguing

Hapa Ndipo Mwanaume Mwerevu Anatakiwa Kuwa Makini, Ni Lazima Ufahamu Siri Zilizopo Moyoni Mwa Mpenzi Wako. Jifunze Kusoma Hisia Za Mpenzi Wako Kwa Nje, Kabla Ya Kufanya Kitu, Fikiria Mara Mbili, Lakini Baada Ya Kufanya, Msome Kupitia Uso Wake.

Images

Siku zote mafanikio hayaji kirahisi bila kuwa na malengo.. Soma hapa upate siri 11 za mafanikio...!!!!




Kama umefanikiwa au unaelekea kwenye njia ya mafanikio sasa au ndio kwanza unaanza biashara unatakiwa uwe na malengo, hapa nimejaribu kuweka chini dondoo za jinsi ya kutawala mafanikio yako kibusara zaidi:

1.      Sherekea mafanikio yako.Yawe madogo au makubwa haijalishi mafanikio yanatakiwa ya sherehekewe. Haijalishi umetangaza kwa umma au umealika marafiki wachache  na kuwashirikisha. Kusheherekea mafanikio  ndio msingi  wa kufanya njia kwa mafanikio mengine makubwa zaidi. Dunia ina jinsi inavyojiendesha na sisi tuna jinsi ya kuwasiliana na dunia kiasilia.