Siri Ya Mafanikio

Siri Ya Mafanikio
WASILIANA NASI KWA KUTOA USHAURI, MAFUNZO MBALIMBALI YA UJASIRIAMALI NA KUFICHUA SIRI YA MAFANIKIO KUPITIA Email; siriyamafanikio@gmail.com Au Phone; 0766912725

BIASHARA YA KUKU, BATA, VIFARANGA NA MAYAI KWA ODA PIGA NAMBA HII 0766 912725

BIASHARA YA KUKU, BATA, VIFARANGA NA MAYAI KWA ODA PIGA NAMBA HII  0766 912725
Images

Mwanaume anamuhitaji mwanamke zaidi kama msaidizi wake kuliko mwanamke anavyomhitaji mwanaume.. Soma hapa kwa undani zaid



Mwanaume anamuhitaji mwanamke zaidi kama msaidizi wake kuliko mwanamke anavyomhitaji mwanaume na sema hivyo sio kwa kuegemea swala la ngono bali kwenye maswala mengine mengi ya kimaisha.

Inasemekana kwamba wanawake ambao hawajaolewa wanaishi zaidi ukilinganisha na wale walio ndani ya ndoa na Wanaume waliondani ya ndoa huishi maisha marefu zaidi kuliko wale walio nje ya ndoa, umewahi kujiuliza kwanini wataalamu wanadai hivo?

Images

Kukaa Muda mrefu bila kuwa na Kazi kuna madhara mengi kisaikolojia, Soma hapa upate Njia ya Kupata kazi Kirahisi.!!

job-wanted

Kuishi muda mrefu bila kuwa na kazi kuna madhara mengi kisaikolojia, watu wengi hupatwa na vichaa na wengine, kujiingiza katika ulevi wa kupindukia, utumiaji dawa za kulevya na uhuni kutokana na kukata tamaa ya maisha hasa wanapopoteza kazi au wanapomaliza masomo na kukosa ajira walizokuwa wakizitazamia.

Hii inatokana na watu wengi kukosa elimu ya namna ya wanavyoweza kutumia vizuri muda wao wa dhahabu wanapokuwa hawana kazi. Unaitwa muda wa dhahabu au ‘Unemployment golden time’ kwa sababu mkosa ajira huathirika endapo atashindwa kutumia muda wa awali kujiokoa na makucha ya kukosa kazi.

Images

Je!! Wajua Neno KESHO linavyo Kosesha Watu Mafanikio... Neno Kesho linatumika sana na Watu Wavivu.. Soma hapa..


Ni mara ngapi unawaza kuhusu “KESHO” je umeshawahi kujiuliza jinsi inavyozuia mafanikio yako kimaisha? Uchunguzi unaonesha kwamba watu wengi ambao hawajafanikiwa mpaka sasa kwenye maisha yao ni wale wanaofikiria zaidi kesho na kupuuza leo.

Katika hali ya kawaida mafanikio ya kesho hayapo, yakiwepo ujue yametokana na leo. Kama utakuwa mtu wa kusema moyoni mwako nitakwenda kazini kesho, nitajituma zaidi kesho, nitafanya hiki na kile kesho utajikuta kesho haziishi na kila zikujiapo huja tupu.

Images

Je..!! Wajua Namna 9 za Kumpenda Mpenzi wako kwa Vitendo..!! Soma hapa kwa Kujua vitu hivyo..

black-couple-kissing

Kama ilivyo mambo mengine kuwa “affection” ni swala la kujifunza, baadhi ya wanaume waliokuzwa/kulia kwenye jamii yenye mfumo Dume (Waafrika kwa ujumla) huwa hawajui kuonyesha hilo hitaji, ebu tuliite “kupenda kwa vitendo” hivyo huenda sio kwamba hataki bali hajui.

Kwa maana hiyo sio mbaya ikiwa wewe mwanadada ukamfundisha nini cha kufanya, ikiwa na wewe ulikuwa hujui basi jifunzeni wote ili kuwa na uhusiano bora wenye furaha.

Images

Je..!!! Una kipato kidogo lakini Matumizi makubwa..? Jifunze hapa namna ya kutumia Kipato hicho na kutosheleza Mahitaji yako..



Watu wengi husindwa kubana matumizi kutokana na kukosa elimu ya jinsi ya kutumia pesa. Baadhi wamesoma na wengine wanaendelea kusoma masomo mbalimbali yanayohusu pesa na wanahitimu vizuri, lakini wanapokuja katika uhalisia wa maisha wanajikuta wanafeli vibaya kutokana na kutoutambua umuhimu wa kuwa na nidhamu ya pesa.

Msomaji wangu nikupe dondoo kadhaa ambazo kwa namna moja ama nyingine zinaweza kukusaidia katika kubana matumizi na hatimaye hata kama kipato chako ni kidogo, kikakidhi mahitaji yako muhimu na pia kukawepo na ziada.

Images

Je..!! Wajua kwenye Upendo kuna Mapenzi ya Dhati.. Soma hapa kwa habari kamili



Dean Ornish, ambaye ni daktari na pia mwandishi anaandika hivi: “Upendo na mahusiano ya karibu ni sababu kuu zinazoweza kutufanya tuwe wagonjwa au tuwe wenye afya, tuhuzunike au tuwe wenye furaha, tuteseke au tupone.