Dean Ornish, ambaye ni daktari na pia mwandishi anaandika hivi: “Upendo na mahusiano ya karibu ni sababu kuu zinazoweza kutufanya tuwe wagonjwa au tuwe wenye afya, tuhuzunike au tuwe wenye furaha, tuteseke au tupone.
Ikiwa dawa mpya ingekuwa na matokeo
kama hayo, karibu kila daktari nchini angeipendekeza kwa wagonjwa wake.
Ingekuwa kinyume cha sheria za kitiba kukataa kumwandikia mgonjwa dawa hiyo.”
Kwa hyo upendo kwenye mahusiano ni
kiungo muhimu sana na kitakacho weza kuboresha na kuimarisha mahusiano yenu ya
kirafiki au kimapenzi. Kama upo kwenye mahusiano/ndoa alafu hakuna upendo kati yenu mapenzi yenu
yapombioni kuvunjika.
Kwenye upendo kuna mapenzi ya
dhati..
0 comments: