Siri Ya Mafanikio

Siri Ya Mafanikio
WASILIANA NASI KWA KUTOA USHAURI, MAFUNZO MBALIMBALI YA UJASIRIAMALI NA KUFICHUA SIRI YA MAFANIKIO KUPITIA Email; siriyamafanikio@gmail.com Au Phone; 0766912725

BIASHARA YA KUKU, BATA, VIFARANGA NA MAYAI KWA ODA PIGA NAMBA HII 0766 912725

BIASHARA YA KUKU, BATA, VIFARANGA NA MAYAI KWA ODA PIGA NAMBA HII  0766 912725
Images

Uhusiano hujengeka baada ya kutoka na huyo mtu kwa muda fulani minimum miezi kama 3 hivi au zaidi.. Soma zaidi hapa

black couple hugging

Napenda utambue kuwa kukutana na mwanaume/mwanamke na kuwa nae na kupeana miili yenu haina maana huyo ni uhusiano tayari, uhusiano hujengeka baada ya kutoka na huyo mtu kwa muda fulani minimum miezi kama 3 hivi au zaidi.


Zingatia haya.....

Napenda kukwambia kuwa unapoanza uhusiano na mwanaume chukulia mambo taratibu na usikimbilie kufanya ngono kwani kufanya hivyo automatically kutakufanya udhani kuwa tayari uko kwenye uhusiano

*Angalia mambo ambayo uta-offer ikiwa utakuwa kwenye uhusiano na sio kutegemea afanye hivi au vile.

*Weka 50-50 na sio asilimia mia moja kuwa uhusiano utakuwa kama unavyotaka

*Usitegemee mambo makubwa yafanyike ndani ya uhusiano wako na badala yake acha yatokee yenyewe bila kulazimisha.

*Kuwa wazi na kuyazungumzia yale ambayo ungependa yafanyike ktk maisha yenu ya baadae lakini sio kwa kulazimisha au kununa ikiwa mwenzio anaonyesha kutovutiwa na mazungumzo hayo na badala yake wewe furahia kila siku kama inavyokujia.

* Kumbuka mapenzi ya kweli huchukua muda kujengeka na yakijengeka huwa hayabomoki hata kama mtaamua kuachana baadae mahaba yataisha lakini penzi siku zote hubaki moyoni.


0 comments: