Mwenza wako akifanya kosa la
kusaliti ndoa/penzi haina maana kuwa ndio basi tena siku zote kuna njia ya
kufikia muafaka.
Kama wapenzi mkachukua tahadhali
mapema, mkajuana vema, mkaafikiana kushurikiana kwenye kila kona na mkawa wazi
na kufanyia kazi uhusiano wenu badala ya kuachana .
Unajua uhusiano ni kama ajira yenu
ya pili, usipokuwa na bidii au kutokuwa makini ni wazi kuwa kibarua kitaota
majani na mmoja wenu kutoka kwenye uhusiano au kutereza.
Hivyo basi mimi
sikubalini kabisa kuwa mwanaume au mwanamke akitereza basi ndio anakuwa wa
kutereza unless kama ni hulka yake.
Vinginevyo ikitokea hiyo na
mnapendana basi pigania penzi lenu na kulifanya liwe lenye afya na bora zaidi
ya mwanzo kuweka "rules" kwenye uhusiano pale mmoja anapokuwa mtivu
wa nidhamu ni muhimu wakati mwingine watu wanakuwa kama watoto, wanahitaji
muongozo kutoka kwa mama.
0 comments: