Kujitofautisha
katika kuuza bidhaa na aina ya huduma unayotoa ni kitu muhimu hii itasababisha
wateja weni wafuate huduma zako,wafanya biashara wengi wanaamini kuwa kupunguza
bei ni kivutio kikubwa cha wateja katika biashara, lakini sio bei tu ianayo
weza kuvutia wateja wengi katika huduma zako, wateja wengi huthamini huduma
bora na bidhaa bora kama ifuatavyo….
- Ubora
wa bidhaa yenyewe nahduma unazo toa
- Urahisi
wakupata huduma na bidhaa zako
-
Upatikanaji wa bidhaa na huduma (je zina patikana muda wote?)
-Usalama
wa bidhaa na huduma zako
-
Je bidhaa au huduma zako haziharibu mazingira
- Bidhaa
zako zimezalishwa wapi?......nchini au ughaibuni.
- Maoni
ya wateja wako juu ya bidhaa na huduma unazotoa, wanasemje juu ya bidhaa na
huduma zako
- Kilasiku
buni na fikiri njia mbali mbali ambazo zitafanya wateja apende bidhaa zako
zaidi.
0 comments: