Mtu
anayefikiri ana faida kubwa sana kwanza huokoa muda mwingi wa ufanyaji jambo
Fulani kwa kuwa hutumia kanuni na kujiamini ni jambo la msingi, kuwavutia wengi
jambo unalolifanya maana huku kurupuka. Ni
raisi sana kuanza kufikiria anza sasa kupanga muda ambao kila siku utapenda
kuwa peke yako na hali ya utulivu ukitafakari muda mzuri mara nyingi ni asubuhi
alfajiri, usiku pale ambapo hakuna usufumbufu,
kuna njia mbali mbali za
kufikiri ambazo zina tija kama ukiwa makini nazo ni kazifuatazo;
1.
kufikiri kwa zingatio moja (ondoa mambo mengine
yote), uwezo
wa kufikiri kwa kuondoa mambo yanayochanganya kwenye akili yako
2.
Kufikiri kwa ubunifu, uwezo wa kuvunja sanduku la mipaka
yako na kugundua mawazo mapya kabisa
3.
kufikiri kimkakati, uwezo wa kutekeleza msisimuko wako na
kutumaini kupata ufumbuzi kwa yasiyowezekana
4.
kufukiri
kwa uhalisi, uwezo wa kujenga msingi imara juu ya kuweza kufikiri kwa uhakika
5. kufikiri
kiuwezekano,uwezo wa kuelekeza msisimuko wako na kutumaini kupata ufumbuzi kwa
yasiyo wezekana
6.
Kufikiri
kwa kukosoa,uwezo wa kukataa mipaka ya wazo lililozoeleka ili kupata matokeo
yasiyoya kawaida
7.
kufikiri
kwa pamoja, uwezo wa kuhusisha mawazo ya wengine ili kupata matokeo unganishi
8.
kufikiri
kusipo kwa ubinafsi,uwezo wa kuwafikiria wengine na safari yao,ili,kufanikisha,ushirikiano
Maendeleo ya biashara zetu
yanatokana na sisi tunavyofikiria,maendelo ya nchi tulionayo leo ni kutokana
viongozi wetu walivyofikiria je walikuwa
makini au walikopi kutoka kwa wengine? unaweza amua leo ukawa kati ya kundi dogo la watu duniani wanafikiria ili
usitawaliwe na wengine na uwe na maendeleo maana blue print yako inatokana na
wewe unajituma kufikiri.
0 comments: