Mwanamke Ana Upendo kwa asilimia kubwa Kwa Mwanaume.
Mwanamke Mpaka Kufikia Hali Ya Kukubaliana Na Wewe Na Akakuheshimu Kwa
Kukuvulia Kila kitu Alichonacho Yeye Kwa Kukupa Kile Wewe Unachohitaji Kutoka
Kwake.
Na Amekupa Heshima Wewe Kama Mpenzi Wake Umtumie
Unavyokata Na Kutokana Na Mapenzi Anayokupa Anaamua Kukuamini Na Kukupa Siri
Zake Zote Wewe Kama Wake Mpenzi .
Na Mpaka Anawatambulisha Rafiki Zake Kuwa Wewe Ni
Shemeji Yao Na Hawezi Ambiwa Chochote Juu Yako Kibaya Akaacha Kukwambia,
Leo Hii Unamdharau
Hana Lolote Huyo Kwanza Malaya Tu (Mbaya Sana Hii, Jifunze Kuishi Kiutu
Uzima Hata Kama Ana tofauti Usiwe Na Hofu Kumweleza
0 comments: