Nguvu Ya Mguso Wa Ukaribu Kamwe Haiwezi Kulinganishwa Na Chochote. Lazima Mjifunze Kujenga Tabia Ya Kugusana Mara Mpatapo Nafasi Sio Tu Mnapokuwa Mmelala.
Kugusana Huku Ni Pamoja Na
Kushikana Mkono Mkiongea Au Mkitembea, Kukumbatia Bega, Kugusa Au Kuchezea
Nyewele Za Mwenzako Na Njia Nyingine Zozote Za Kuonyesha Ukaribu Kimwili.
Wengi Wetu Huweza Kufanya
Haya Kidogo Tunapokuwa Peke Yetu Na Kamwe Sio Mbele Ya Watu, Je, Ni Aibu,
Nidhamu Mbaya? Dhambi? Kugusana Ndiyo Mwanzo Wa Kuamsha Hisia Za Kuhitajiana,
Hebu Jiulize Kisirisiri, Lini Uligusana Na
Mwenzako Nje Ya Chumba? Kumgusa Umpendaye Hukuzuia Kutowaza Kumgusa Yeyote
Katika Ulimwengu Uliojaa Wengi Walio Wapweke.
Mguso Huu Wa Upendo Haumaanishi Mguso Wa Tendo La Ndoa, Ingawa Pia Ni Vyema Kujifunza Kuijenga Lugha Ya Mguso Wa Tendo La Ndoa Katika Uhusiano Wenu.
Mguso Huu Wa Upendo Haumaanishi Mguso Wa Tendo La Ndoa, Ingawa Pia Ni Vyema Kujifunza Kuijenga Lugha Ya Mguso Wa Tendo La Ndoa Katika Uhusiano Wenu.
Anza leo kumshika mwenza
wako ila isiwe too much mpaka watu kafikiria vibaya kwamba mnajionesha mapenzi
yenu kwa watu wa nje..
0 comments: