Kwa
kipindi hiki cha mvua na baridi kali watu wengi wamesitisha kuoga mara kwa mara
kwa kuogopa kuoga maji ya baridi haswa wale wanaoshindwa hata kuchemsha maji na
kwenda kuoga yakiwa ya moto. Wanatupa wakati mgumu sana tukiwa ndani ya
daladala tumebanana na harufu kali kutokwa kwenye makwapa na mwili kwa ujumla.
Zifuatazo ni faida ya kuoga
mara kwa mara;
1. Kuweka mwili safi na nadhifu
2. Kuondoa magonjwa ya ngozi na nywele
3. Kupendeza na kuongeza mvuto wa mtu
4. Mwili kunukia vizuri
5. Kuwa na marafiki wengi
6. Kuwa huru na kujiamini unapokuwa na rafiki zako
7. Kupendwa na watu
1. Kuweka mwili safi na nadhifu
2. Kuondoa magonjwa ya ngozi na nywele
3. Kupendeza na kuongeza mvuto wa mtu
4. Mwili kunukia vizuri
5. Kuwa na marafiki wengi
6. Kuwa huru na kujiamini unapokuwa na rafiki zako
7. Kupendwa na watu
Zifuatazo ni madhara ya
kutokuoga kwa muda mrefu;
1. Harufu mbaya ya mwili
2. Matatizo ya ngozi na nywele mfano vipele na mmba kwenye nywele
3. Maradhi mfano mafua na fangasi
4. Kukimbiwa na marafiki
5. Jasho kali
6. Kuzeesha
1. Harufu mbaya ya mwili
2. Matatizo ya ngozi na nywele mfano vipele na mmba kwenye nywele
3. Maradhi mfano mafua na fangasi
4. Kukimbiwa na marafiki
5. Jasho kali
6. Kuzeesha
Kuoga
ni hiari ya mtu ila kiafya tunashauriwa kuoga mara kwa mara…….
Mbona hueleweki Mara mwili kunukia Mara harufu mbaya lip lipo sahihi
ReplyDeleteKaoge ww
Delete