Usilazimishe
kupenda kwa mtu ambaye hana mpango na wewe, najua inauma unaweza peleka zawadi
nyingi lakini mwisho wa siku ukaishia kupata patupu.
Kuna
usemi unaosema”Mpende akupendae na asiye kupenda achana nae” lakini vijana wa
siku hizi wamegeuza msemo huo na kuwa “Mpende akupendae, asiye kupenda mng’ang’anize
mpaka uwe nae”
Kazi
imebaki kuwa kwako ila mapenzi ya kulazimisha huwaga hayana raha siku zote, kwa
hiyo tafuta mtu mtakae pendana wote.
0 comments: