Siri Ya Mafanikio

Siri Ya Mafanikio
WASILIANA NASI KWA KUTOA USHAURI, MAFUNZO MBALIMBALI YA UJASIRIAMALI NA KUFICHUA SIRI YA MAFANIKIO KUPITIA Email; siriyamafanikio@gmail.com Au Phone; 0766912725

BIASHARA YA KUKU, BATA, VIFARANGA NA MAYAI KWA ODA PIGA NAMBA HII 0766 912725

BIASHARA YA KUKU, BATA, VIFARANGA NA MAYAI KWA ODA PIGA NAMBA HII  0766 912725
Images

Wanawake wengi nchini na duniani kwa ujumla wanasumbuliwa na tatizo @#$%^&*....!!!! Soma ujue sababu za tatizo hilo..

sad-black-woman


Wanawake  wengi  nchini  na  duniani  kwa  ujumla  wanasumbuliwa  na 
tatizo  lakukosa  hamu ya  kufanya  tendo  la  ndoa  pamoja  na  tatizo  la  kutofika  kileleni.  Sababu  zinazo  changia     tatizo  hili  zimegawanyika  katika  makundi  makuu  mawili : 


 (A)  Sababu  za  Kisaikolojia
 (B)  Sababu  za  Kimwili 

A.  SABABU  ZA   KIMWILI 

1.  Anaemia  (   ugonjwa  huu  ni  very  common  kwa  wanawake  kwa  sababu  ya  kupoteza    madini   ya  chuma  wakati  wa   hedhi  )

2. Ulevi Kupita  kiasi 

3. Utumiaji  wa  Dawa   Za  Kulevya 

4. Magonjwa  makubwa  kama  vile  kisukari.

 Sababu  zipo  nyingi  sana, hizi  ni  baadhi  tu 

B :  SABABU  ZA  KISAIKOLOJIA 
1. Depression  
2. Stress  and  overwork
3. Woga
4. Kunyanyaswa  kijinsia  ama  kubakwa  wakati  wa  utotoni
5. Kuwa  katika  matatizo  makubwa  na  mpenzi  wako.
6. Kuishi  katika  mazingira  magumu  mfano  kushare  nyumba  ama  chumba  na  wazazi  wako, wakwe  zako  ama  watoto  wako.


 

0 comments: