Kila Mmoja Awe Msaada Na Tegemeo Kwa Mwenzake. Jifunze Kumtia Moyo Na Kumwezesha Mwenzako. Sikiliza Na Kufuatilia Vile Mwenzako Afanyavyo Au Apendavyo.
Onyesha Heshima Katika Vitu
Hivyo Pia. Kila Upatapo Nafasi Mpongeze Mbele Za Watu Au Hata Unapokua Nae Peke
Yenu. Mjenge Mwenzako Mbele Ya wengine Na Kubali Pongezi Zote Za
Mafanikio Yenu Zimwendee Yeye.
Mruhusu Mpenzi Wako Ajue Kuwa Una Mkubali
Katika Kila Afanyalo. Zaidi Tunavyo Wainua Wapenzi Wetu Ndivyo Wanavyotuthamini
Na Kutunyanyua Na Sisi Pia.
0 comments: