WANAWAKE: Napenda Kuwashauri
Wanawake Wote Ambao Wapo Katika Mahusiano Ya Kimapenzi Wajaribu Kuwa Wabunifu
Katika Mapenzi, Mpe Mpenzi Wako Mapenzi Yote Toka Moyoni Mwako.
Usidanganywe Kuwa Mapenzi
Ni Mitishamba Hakuna Dawa Ya Mapenzi Kwa Mganga Ila Dawa Unayo Wewe Mwenyewe
Mridhishe Mpenzi Wako Kwa Kumpa Vitu Vipya Katika Mapenzi Halafu Uone Je, Penzi
Lako Kwa Mwenza Wako Utachangia Na Wenzako?!
WANAUME: Siku Zote Uwapo Katika Mapenzi Fahamu Kuwa Unapaswa Kumridhisha Mpenzi Wako Katika Tendo Mfanye Ajisikie Raha Pindi Muwapo Chumbani Inakubidi Uwe Mwanamke Wa Kileo.
WANAUME: Siku Zote Uwapo Katika Mapenzi Fahamu Kuwa Unapaswa Kumridhisha Mpenzi Wako Katika Tendo Mfanye Ajisikie Raha Pindi Muwapo Chumbani Inakubidi Uwe Mwanamke Wa Kileo.
Ujitahidi Kuwa Mbunifu Katika Mapenzi Kwa
Kujituma Pindi Mnapokuwa Chumbani Na Mpenzi Wako, Jaribu Kushughulika Tumia
Viungo Vyako Vya Mwili Katika Kuamsha Hisia Za Mwandani Wako Kabla Ya Kuanza
Nae Kufanya Mapenzi Ili Kuhakikisha Mpenzi Wako Anapata Raha.
Inakuwa Ni Njia Nzuri Ya Wewe Kumfanya Mpenzi
Wako Ahisi Kuwa Wewe Ni Muhimu Kwake Kutokana Na Mahaba Unayompa... Jitume
mwanaumeeeee
0 comments: