Kundi kubwa la
wanaume ambao wanashindwa kufurahia tendo la
ndoa kutokana na kuwa uume mdogo kupita
kawaida...Wanaume walio natatizo hili wengi huwa
hawana confidence ya kuingia katika
mahusiano na wasichana ama wanawake wanao
fahamiana nao kutokana na kuogopa "siri"zao
kujulikana hususani pale uhusiano wao
unapofika mwisho..
Iikitokea
mwanaume akiwa katika uhusiano na mwanamke
"mcharuko" ( asiye mstaarabu ) Mwanamke anaweza
kuanza kumvuanguo hadharani kwa
kumtangazia kwa watu kuwa na
uume mdogo ." Mwanaume utakuwa wewe!" na
lugha za namna hiyo
hutawala midomoni mwa
wanawake hawo....Matokeo yake sasa wanaume walio
na tatizo hili huamua kutokuwa na uhusiano
wa kimapenzi na wanawake wanao fahamiana nao, na
badala yake huamua kuanzisha tabia yakuwa
wanajamiiana na wanawake wanaouza miili yao
ama kujihusisha na upigaji punyeto n.k.
NINI CHANZO CHA UUME KUWA MDOGO.
1. Kupiga Punyeto kwa muda mrefu..
Hali hii husababisha kusinyaa kwa uume na hatimaye uume kurudi ndani
2. Kuugua chango
la uzazi.
3. Magonjwa ya
utotoni.
4. Kutahiriwa
mapema
5. Kurithi
kutoka kwa wazazi: Wanaume wengine wana
maumbile madogo kwa sababu wamerithi maumbile
hayo kutoka kwa wazazi wao.
0 comments: