Jinsi
ya kupata wazo la biashara
- Tafuta msaada toka kwa wote ambao wapo katika biashara,watakwambia vitu muhimu katika biashara.
- Angalia wengine wanafanya nini, tambua matatizo wanayokumbana nayo na kisha fikiri njia sahihi za kutatua matatizo hayo.
- Jadiri pamoja na marafiki na jamaa wa karibu juu ya kile unchotaka kufanya
- Kuwa mdadisi kwa kuchunguza vitu kwa makini,tembelea maeneo mengine ili kujua wanafanya nini
- Fikiri kufanya kiu kipya ambacho hakijafanywa katika eneo ulilopo
Faida
za kuwa na wazo la biashara
1.
Hupunguza vikwaazo katika
kuendesha biashara
2.
Husaidia katika kufanya
maamuzi sahihi ya biashara gani uanzishe
3.
Kupata
mafanikia katika biashara
4.
Ni
hamasa kubwa katika kuingia katika biashara
Jinsi
kuugundua na kutambua biashara sahihi
- Kuwa makini katika kuchaga aina ya biashara ya kufanya
- chagua kulingana na uwezo wako katika kuendesha biashara hiyo
- chagua biashara unayo ipenda kwani uwezekano wa kuifanya vizuri ni mkubwa
- amua biashara ya kufanya hasa bada ya kufanya uchunguzi wa kutosha na kutafuta habari za kina juu ya biashara husika hi itakusaidia kufanya biashara bilia vikwazo vingi
vigezo
muhimu wakati wa kuchagua biashara ya kufanya
- uwezekano wa kufanikiwa
-
kupata faida
- kutambua vikwazo katika
bishara
- biashara
inayo vutia
- elimu
ya biashara pamoja na rasilimali watu
- mtaji
- masoko
- upatikanaji
wa stoo za kuhifadhia bidhaa
- upatikanaji
wa malighafi
- usafiri
-
uwezekano wa kupata msaada
toka serikalini
0 comments: