Hakuna asiyefahamu athari
za mtu muongo katika jamii, vivyo hivyo ndivyo ilivyo katika mapenzi uongo ni
sumu mbaya na nidalili moja wapo ya kuonyesha kuwa mpenzi wako hana penzi la
dhati nawe na huyo aweza kukuletea athari za kufikiri hapo baadae endapo
hautakuwa makini nae.
Hivi utajisikiaje Mpenzi
wako akigundua kuwa ulikuwa ukimdanganya na hatimaye yeye akajua ukweli wa
suala ulilokuwa ukimpiga fiksi? Lakini ushauri wangu si kumuacha bali jaribu
kumshauri kwa hekima na akiendelea na tabia hiyo ujue kuwa hana mapenzi ya
kweli kwako.
0 comments: