Kukubali
tatizo dogo likukere ni kulikuza na kulifanya liaminike. Unavyozidi kumfikiria
adui yako ndivyo unavyomfanya awe na nguvu zaidi.
Tatizo
dogo huwa kubwa zaidi na lenye kuonekana zaidi unapojaribu kulitatua. Wakati
mwingine ni kuyaacha mambo kama yalivyo.
0 comments: