Siri Ya Mafanikio

Siri Ya Mafanikio
WASILIANA NASI KWA KUTOA USHAURI, MAFUNZO MBALIMBALI YA UJASIRIAMALI NA KUFICHUA SIRI YA MAFANIKIO KUPITIA Email; siriyamafanikio@gmail.com Au Phone; 0766912725

BIASHARA YA KUKU, BATA, VIFARANGA NA MAYAI KWA ODA PIGA NAMBA HII 0766 912725

BIASHARA YA KUKU, BATA, VIFARANGA NA MAYAI KWA ODA PIGA NAMBA HII  0766 912725
Images

Siri ya kuvaa nguo nyekundu Inatoa ishara ya hisia kali,amri,nguvu,amri,uchokozi...!!!! Soma hapa...

http://www.hindustantimes.com/Images/popup/2013/5/vidya red.jpg


Hii rangi hutumika sana sana katika shughuli za kiutawala katika kutoa amri au kusisitiza jambo Fulani lifanyike upesi na kimakini sana, mfano bosi ofisini anaweza toa amri kwa wafanyakazi wake ofisini jambo Fulani lenye tarehe ya makubaliano lifanyike upesi au katika jambo ambalo kama vile watu hawataki Huku amevalia tai nyekundu.

Pia kwa kiongozi wanchi anapoenda toa amri jambo Fulani lifanyike kwa baraza la mawaziri huvaa tai nyekundu hivyo hivyo kwa mawaziri kwa walio chini yao.

Hii rangi sio nzuri katika majadaliano ya jambo Fulani ili kufikia muafaka(negotiation) na wewe upo chini ya mtu uliyemvalia nyekundu mfano mwaka 2009 Barack Obama na  raisi wa Urusi Drimitry Medved walipokuwa pale marekani kufanya majadiliano ya kibiasha kati ya nchi zao  Obama alivaa tai nyekundu (alikuwa na sauti kubwa maana yake) na raisi  wa Urusi alivaa

0 comments: