Rangi
nyeupe inaonyesha usafi wa mtu rohoni, utayari wa kusaidia watu wengine, amani
ya mtu kwa watu, yaani mambo yapo salama, pendelea kuvaa nyeupe wakati wa ibada
za kufunga, meditation, sherehe za kusaidiaa watu wenye shida, sherehe na matukio yanayo maanisha amani.
0 comments: