Mawasiliano juu ya hisia
zako za kweli, Uaminifu, upole au utulivu wa ndani wa mtu, wajibu, utii, mantiki,
huruma.
Ni
rangi
ya ulizi hii ni rangi muhimu sana ya wewe uonewe huruma na watu wengine, mathalani
hutumiwa kwenda kuomba kazi kwa kampuni mbalimbali ni vema ukavaa tai ya blue
kipindi cha interview,
Blue pia huvaliwa kipindi
cha ujenzi na mafundi ndoo maana overall la kwanza kabisa lilikuwa la rangi ya
blue ikiwa na maana ya ulizi(protection).
Blue pia hutumika kipindi
cha wewe kusafiri kwenda sehemu mbalimbali unasafiri, Katika majadiliano ya
biashara au mengine kama wewe sio mwenye mali au (sauti katika hayo) inashauriwa
kuvaa blue huruma itawajia wale unaofanya nao mazungumzo na mazunguzmo
kwenda vizuri sana kwa uaminifu mkubwa sana .
0 comments: