Kamwe
usitake kuonekana una haraka, kuharakisha mambo kunakufanya ushindwe
kujidhibiti na kuudhibiti muda.
Siku
zote onekana huna haraka, kama vile unajua kila kitu kitakamilika. Ufahamu
wakati muafaka wa kufanya jambo, fahamu nguvu ya muda na njia ambazo
zitakuletea mafanikio.
0 comments: