Mwanamume Asiye Na Mpango
Wa Kuendelea Kuwa Nawe Katika Uhusiano, Hujitahidi Kuepuka Watu Kuwaona Pamoja.
Kwa Hakika, Kijana Wa Kiume
Anapokuwa Amempenda Msichana Kwa Dhati, Hujikuta Akifanya Hata Mambo Ambayo
Zamani Alikuwa Hadhani Kuwa Anaweza Kuyafanya,
Ikiwa Ni Pamoja Na Kuonesha
Mapenzi Hadharani, Japo Kwa Idhara Ndogo Ndogo. Kwa Tamaduni Za Magharibi Ni
Kawaida Kumbusu Mpenzi Hadharani Au Kumzungushia Mkono Kiuononi,
0 comments: