Kume
kuwa na wimbi kubwa sana la vijana kutaka kutajirika haraka haraka bila
kujishughulisha na biashara halali ambazo zitawafanya wapate mafanikio yaliyo
halali wanataka kulala maskini na kuamka tajiri kitu ambacho hakiwezekani kama
hauna kitu kitakacho kuingizia kipato.
Vijana
wanapenda njia ya mkato na hawataki kufanya kazi kwa bidii inayowapelekea
kwenda kwa waganga wa kienyeji ili kupata mafanikio kwa haraka. Wako tayari
kutekeleza masharti ya mganga hata kutoa kafala ndugu zao wa karibu.
Tumeona
wangine wakijiingiza kwenye kubeba na kuuza dawa za kulevy ambazo zinawagarimu
maisha yao pindi wanapo kamatwa na dawa hizo wangine hata kunyongwa lakini
vijana hawasikii.
Ushauri wangu; Vijana wenzangu
tupende kujishughurisha kazi zipo nyingi halali ambazo zitabadilisha maisha
yako kama ukijituma kwa bidii…
0 comments: