Ni Wazi Kuwa Hujakaa Sana Na Mwanamume Huyu, Lakini Angalau Kuna Mambo Muhimu Umefanya Naye Ambayo Anapaswa Kuyakumbuka.
Kama Hawezi Kukumbuka Tarehe Muhimu
Za Uhusiano Wenu, Mathalani Tarehe Mliyokutana Mara Ya Kwanza, Au Siku
Mliyofanya Mapenzi,
Basi Yamkini Mwanamume Huyu Hana Mpango Wowote
Wa Dhati Wa Kuendelea Kuwa Nawe.
0 comments: