Mjasiriamali
lazima aende na wakati iliaweze kutambua mabadiriko mbalimbali yanayo jitokeza
katika masoko na uzalishaji wa bidhaa kwa ujumla. Kwenda na wakati hakutampa nafasi
mjasiriamaili kuachwa nyuma katika ushindani wa kibiashara.
Katika
soko huria, kwenda na wakati pia kunatoa fulsa kwa mjasiriamali kujua njia mpya
za uzalishaji. Njia ambazo zinaweza kukusaidia kwenda na wakati ni pamoja na
kusoma magazeti, kufanya utafiti, kuperuzi katika mitandao mbalimbali.
0 comments: