MJASIRIAMALI NA MFANYABIASHARA Ni ukweli ulio wazi kuwa si kila anayeuza au mfanyabiashara
ndogo ndogo ni mjasiriamali. Imekuwa ni fashion kwa sasa nchini tangu nchi
ijiunge katika mfumo unoangozwa na soko kwa kila muuzaji wa bidhaa na mtoaji wa
huduma kujiita mjasiriamali.
Kwa ufupi mjasiriamali ni mtu yeyote
ambaye haogopi kuweka mipango na kushindwa, tofauti na mfanyabiashara yeye huwa
na mtazamo wa kuwekeza kwa ajili ya faida pekee.
Mjasiriamali mhimili wake mkuu ni ubunifu,
Kuzalishwa wa bidhaa mpya, njia mpya za uzalishaji kugunduliwa, kutafutwa kawa
masoko mapya na utumiaji wa rasilimali zinazomzunguka.
0 comments: