Mjasiriamalia
lazima awe na uwezo wa kuongoza na kutoa maamuzi. Baadhi ya watu wanadai
uongozi ni kalama ombayo mtu anazaliwa nayo au anapewa na Mungu, ni kweli
mtu anaweza kuzaliwa na kipaji cha kuongoza, lakini mtu anaweza kujifunza na
akawa kiongozi mzuri.
Katika ujasiliamali uongozi ni jambo muhimu sana,
mjasiliamli lazima aweze kuogoza biashara yake au mradi wake vizuri.
Mjasiriamali lazima awe na uwezo wa kusimamia wafanyakazi na kutumia
mbinu za uogozi ili apate matunda kwakile ambacho anafanya.
0 comments: