Anakuwa Ni Mtu Wa Kukununulia Mapambo Ya Gharama Na Vitu Vyote Vya Anasa, Lakini Hana Mawazo Ya Kuzungumzia Maisha Yenu Ya Baadaye Wala Kukununulia Vitu Ambavyo Vitakuwa Na Manufaa Katika Maisha Ya Mbeleni.
Haangalii Masuala Ya Elimu Wala
Kukutafutia Mtaji Au Kazi. Unaweza Kugundua Ni Jinsi Gani Hana Mpango Mzuri Na
Maisha Yako, Kwani Hata Anapokuudhi Anakuwa Hajali Wala Haumizwi Na Machozi
Yako,
Ni Busara Kuwa Makini Kwa Sababu
Huyo Atakuwa Ni Mtu Wa Kukupa Maumivu Wakati Wote.
Haonyeshi Kufurahi Unapoanzisha
Mazungumzo Kuhusu Suala La Kufunga Ndoa Na Wala Hapendi Kuzungumzia Hilo.
Wakati Mwingine Hata Kukutambulisha Kwa Ndugu Zake Au Rafiki Inakuwa Shida.
Ukiona hivyo ujue anampango na wewe
anakutumia tu mwisho wa siku atakukimbia.
0 comments: