Siri Ya Mafanikio

Siri Ya Mafanikio
WASILIANA NASI KWA KUTOA USHAURI, MAFUNZO MBALIMBALI YA UJASIRIAMALI NA KUFICHUA SIRI YA MAFANIKIO KUPITIA Email; siriyamafanikio@gmail.com Au Phone; 0766912725

BIASHARA YA KUKU, BATA, VIFARANGA NA MAYAI KWA ODA PIGA NAMBA HII 0766 912725

BIASHARA YA KUKU, BATA, VIFARANGA NA MAYAI KWA ODA PIGA NAMBA HII  0766 912725
Images

Ona jinsi Ndugu, jamaa na marafiki wanavyo weza kukufilishi katika biashara yako..

Shops


Biashara inatunzwa na Mfanya biashara na kuzalisha mapato. Katika mapato hayo mfanyabiashara anajilipa mshahara kutokana na kupata faida. Mshahara anao jilipa ndounatumika kwa matumizi binafisi ikiwemo kutunza familia. 

Katika hili ni vyema fedha ya Biashara na ya familia itengwe ili kuepuka mwingiliano wa matumizi. Ili biashara iweze kukua vizuri ni lazima mfanya biashara aelewe namna ya kutenga fedha ya biashara na ya familia

Images

Ujumbe kutoka kwa Wanawake kwenda kwa Waume/wapenzi wao..!!! Soma hapa…

woman-writing-letter

Mwanamke Ana Upendo kwa asilimia kubwa Kwa Mwanaume. Mwanamke Mpaka Kufikia Hali Ya Kukubaliana Na Wewe Na Akakuheshimu Kwa Kukuvulia Kila kitu Alichonacho Yeye Kwa Kukupa Kile Wewe Unachohitaji Kutoka Kwake.

Images

Pata kujua aina 6 za tiba kwa wale wanaume wenye matatizo ya nguvu za #$%@*#.. Soma hapa….




Wanaume    wengi  wanasumbuliwa  na  tatizo  la  upungufu  wa  nguvu  za  kiume, hali  inayo  afanya  washindwe   kufurahia  tendo  la  ndoa  na  wenzi  wao  wa  kike. Hizi  ni  baadhi  ya  sababu  zinazo  sababisha  upungufu  wa  nguvu  za  kiume  kwa  wanaume.

Images

Je..!! Wajua kufikiria kwenye kulete tija na mafanikio katika maisha yako.. Soma kupata siri hizo...

black-woman-thinking3

Mtu anayefikiri ana faida kubwa sana kwanza huokoa muda mwingi wa ufanyaji jambo Fulani kwa kuwa hutumia kanuni na kujiamini ni jambo la msingi, kuwavutia wengi jambo  unalolifanya maana huku kurupuka. Ni raisi sana kuanza kufikiria anza sasa kupanga muda ambao kila siku utapenda kuwa peke yako na hali ya utulivu ukitafakari muda mzuri mara nyingi ni asubuhi alfajiri, usiku pale ambapo hakuna usufumbufu, 

Images

Ushauri wa bure kwa wapenzi/wanandoa wa dunia ya leo ya digitali..!!! Soma hapa….



WANAWAKE: Napenda Kuwashauri Wanawake Wote Ambao Wapo Katika Mahusiano Ya Kimapenzi Wajaribu Kuwa Wabunifu Katika Mapenzi, Mpe Mpenzi Wako Mapenzi Yote Toka Moyoni Mwako. 

Images

Wanawake wengi nchini na duniani kwa ujumla wanasumbuliwa na tatizo @#$%^&*....!!!! Soma ujue sababu za tatizo hilo..

sad-black-woman


Wanawake  wengi  nchini  na  duniani  kwa  ujumla  wanasumbuliwa  na 
tatizo  lakukosa  hamu ya  kufanya  tendo  la  ndoa  pamoja  na  tatizo  la  kutofika  kileleni.  Sababu  zinazo  changia     tatizo  hili  zimegawanyika  katika  makundi  makuu  mawili : 

Images

Kama unataka kuwa Mjasiriamali kwanza fanya yafuatayo..!!!! Soma hapa...




Ukweli ni kwamba biashara yeyote inaweza kufanikiwa ikiwa itapata wateja wengi wakutosha. Hivyo suala la msingi, sio biashara gani ya muhimu, bali ni vigezo gani vya msingi ni kama vifuatavyo;

Images

Mruhusu Mpenzi Wako Ajue Kuwa Una Mkubali Katika Kila Afanyalo..!!!! Soma hapa kwa undani zaidi..



Kila Mmoja Awe Msaada Na Tegemeo Kwa Mwenzake. Jifunze Kumtia Moyo Na Kumwezesha Mwenzako. Sikiliza Na Kufuatilia Vile Mwenzako Afanyavyo Au Apendavyo.

Images

Wakati mwingine mafanikio huhitaji kufanya kazi ngumu zenye kuchosha lakini usikate tamaa..!!! Soma hapa



Wakati mwingine mafanikio huhitaji kufanya kazi ngumu zenye kuchosha, lakini watu wasiokuwa na uwezo wa kufanikiwa wanapoletewa mambo mawili huwa wepesi zaidi kuchagua jepesi kulifanya.

Images

Mwenza wako akifanya kosa la kusaliti ndoa/penzi haina maana kuwa ndio basi tena..!!! Soma hapa


Mwenza wako akifanya kosa la kusaliti ndoa/penzi haina maana kuwa ndio basi tena siku zote kuna njia ya kufikia muafaka.

Kama wapenzi mkachukua tahadhali mapema, mkajuana vema, mkaafikiana kushurikiana kwenye kila kona na mkawa wazi na kufanyia kazi uhusiano wenu badala ya kuachana .

Images

Ukichunguza kwa makini watoto mbumbumbu darasani ni wale ambao wazazi wao hawakuzingatia mambo yafuatayo...!! Soma hapa

Yourng girl doing homework with her mother

Ukichunguza kwa makini watoto wengi wanaokuwa mbumbumbu darasani (nazungumzia wale wasiokuwa na kasoro za kibaiolojia) ni wale ambao wazazi wao hawakuzingatia mambo yafuatayo katika kuwalea tangu walipokuwa wadogo hadi kukua kwao.

Images

Pata kujua Mambo ya kufanya ili usipatwe na chunusi na tiba yake..!!! Ungana nami hapa..

Image


MAMBO YA KUFANYA ILI USIPATE CHUNUSI

Hakuna njia sahihi ya kujizuia ila unaweza kufanya yafuatayo;
1.    Osha taratibu sehemu unayodhani ina chunusi kwa maji safi na sabuni angalau mara mbili kila siku huku ukisugua taratibu ,usikwaruze kwa kucha au kitu choichote kigumu.

Images

Ijue siri ya kushikana na kugusana wewe na mwenza wako wakati mkiwa matembezini..!!! Soma hapa



Nguvu Ya Mguso Wa Ukaribu Kamwe Haiwezi Kulinganishwa Na Chochote. Lazima Mjifunze Kujenga Tabia Ya Kugusana Mara Mpatapo Nafasi Sio Tu Mnapokuwa Mmelala.

Images

Angalia maigizo haya kipato cha mtanzania wa kawaida kwa mwaka ni laki 7 lakini wajumbe wa katiba wanataka laki 7 tena kwa siku.. Duuuuu..!!!!




Kumekuwa na malalamiko mengi baada ya wajumbe wa katiba kutaka kuongeza posho zao ambazo hapo awali zilikuwa ni laki 3 kwa siku na sasa wanataka kuongeza mpaka laki 7 kwa siku kwa pesa za kitanzania. 

Hili swala limeleta mtafaruku mkubwa kati ya wananchi na wabunge hao wanaotaka kutumia vibaya hela za walipa kodi.

Images

Je..!! Wajua sababu 10 za kutokwa na chunusi usoni..!!! Soma hapa....

Whiteheads are white or skin-colored bumps that typically appear on the face. Whiteheads contain no redness and should not be painful to the touch.


Chunusi hutokea zaidi katika uso,kifua ,mabega na mgongoni kwa sababu maeneo hayo yana vifuko au glandi za Sebaceous nyingi.

CHANZO CHA CHUNUSI
Chanzo halisi cha chunusi hakijulikani hata hivyo baadhi ya vitu vinavyoongeza uwezekanifu wa kupata chunusi ni;

Images

Hivi utajisikiaje Mpenzi wako akigundua kuwa ulikuwa ukimdanganya..!!! Soma hapa




Hakuna asiyefahamu athari za mtu muongo katika jamii, vivyo hivyo ndivyo ilivyo katika mapenzi uongo ni sumu mbaya na nidalili moja wapo ya kuonyesha kuwa mpenzi wako hana penzi la dhati nawe na huyo aweza kukuletea athari za kufikiri hapo baadae endapo hautakuwa makini nae. 

Images

Umuhimu na faida 7 ya kufanya mazoezi mara kwa mara kwa afya ya Binadamu…!!! Soma hapa…

Quick Exercises
Mazoezi ya mwili ni ya muhimu sana kwa afya yetu:
1. Mazoezi ya mwili husaidia kulirekebisha shinikizo la damu.

2. Mazoezi ya mwili huiruhusu damu nyingi zaidi kuzifikia sehemu zote za mwili na kuifanya mikono na miguu ipate joto.

Images

Using'ang'anize usipo pendwa...!!! Habari picha



Usilazimishe kupenda kwa mtu ambaye hana mpango na wewe, najua inauma unaweza peleka zawadi nyingi lakini mwisho wa siku ukaishia kupata patupu.

Images

Inawahusu Wanaume hii Je..!!! Wajua sababu ya @#$%&* kuwa mdogo.. Soma hapa kwa Undani..

Study: Approximately 2,000 Men Get Their Penis Stuck In Their Pants Zipper A Year


Kundi kubwa la  wanaume  ambao  wanashindwa  kufurahia  tendo la  ndoa  kutokana na kuwa  uume  mdogo  kupita  kawaida...Wanaume  walio natatizo  hili  wengi  huwa  hawana  confidence  ya   kuingia  katika  mahusiano  na  wasichana  ama wanawake  wanao  fahamiana  nao  kutokana  na  kuogopa  "siri"zao  kujulikana  hususani  pale  uhusiano  wao  unapofika  mwisho.. 

Images

Njia pekee ya kufanikiwa ni kutoruhusu mawazo yanayoleta kizuizi, kama vile kuwaza umaskini, kuwa na hofu au wasiwasi..!!

Portrait of a smiling girl holding money isolated on white (dataflurry) Tags: ladies girls light red portrait people woman white money black hot color sexy girl beautiful beauty smile face up look smiling fashion closeup modern lady female standing hair happy person stand model holding hands women pretty hand looking close faces natural bright background rich young lifestyle fresh attractive isolated hold

Njia pekee ya kufanikiwa ni kutoruhusu mawazo yanayoleta kizuizi, kama vile kuwaza umaskini, kuwa na hofu au wasiwasi kila mara kwa kile unachokifanya. Endapo wewe ni mtu wa aina hiyo inakupasa ubadilike ili usonge mbele kimafanikio.

Images

“Mimi na wewe mapenzi basi.” Je, atajuaje kama mtamkaji anamaanisha?... Soma hapa kwa undani zaidi..



Kuna kitu kimoja ambacho naamini masikio huwa yanasikia hata macho kuona, lakini moyo siku zote huwa haukubali. Leo tuuandae moyo kukubaliana na jambo ambalo huamini kuwa haliwezekani:

Images

Mwanafunzi hatakiwa kuwa na majibu mawili anapofikiria mafanikio ya masomo yake... Soma hapa

Dear female students: Stop writing about men

Hakuna kitu kinachoitwa bahati katika maisha ya Kisayansi, isipokuwa yanayotokea hutengenezwa kupitia mawazo ya watu wenye fikra hasi na chanya. Kwa kuwa sisi ni wanafunzi ambao tunatarajia kupata mafanikio katika kusoma kwetu lazima tufahamu msingi mzima wa kuvuta kitu kinachoaminiwa kama bahati.

Images

Kuwa mbunifu na toa huduma bora tofauti na wangine kuvutia wateja wengi.. Soma hapa kwa undani zaidi..!!



Kujitofautisha katika kuuza bidhaa na aina ya huduma unayotoa ni kitu muhimu hii itasababisha wateja weni wafuate huduma zako,wafanya biashara wengi wanaamini kuwa kupunguza bei ni kivutio kikubwa cha wateja katika biashara, lakini sio bei tu ianayo weza kuvutia wateja wengi katika huduma zako, wateja wengi huthamini huduma bora na bidhaa bora kama ifuatavyo….

Images

Wanaumia sana mioyo yao ama kukosa penzi la kweli au kuingia katika penzi la kitapeli wakiamini ni penzi la dhati... Soma hapa

Romantic Black Art Page 1

Wengi wamekuwa wakiumia sana mioyo yao ama kukosa penzi la kweli au kuingia katika penzi la kitapeli wakiamini ni penzi la dhati. Tatizo hili limekuwa likiwasumbua wengi, inawezekana hata wewe limewahi kukukuta au upo katika tatizo hili hivi sasa.

Images

Pata kujua Dalili za kubalehe kwa Kijana wa kiume…!!! Ungana nami kwa kusoma hapa….




Ikiwa wewe ni mvulana, kipindi cha kubalehe kitabadili sana sura yako. Kwa mfano, huenda mara nyingi ngozi yako ikawa na mafuta mengi na kutokeza chunusi. Inafadhaisha na kuvunja moyo sana kuwa na chunusi,  kupigana vita vikali na chunusi hizo. Huwezi kujua ikiwa zitakwisha au zitaacha makovu au ikiwa watu watakudharau kwa sababu una chunusi.

Images

Je..!! Wajua Jinsi kuugundua na kutambua biashara sahihi na vigezo muhimu wakati wa kuchagua biashara ya kufanya..




Jinsi ya kupata wazo la biashara
  •   Tafuta msaada toka kwa wote ambao wapo katika biashara,watakwambia vitu muhimu katika biashara.
  •   Angalia wengine wanafanya nini, tambua matatizo wanayokumbana nayo na kisha fikiri njia sahihi za kutatua matatizo hayo.
  •  Jadiri pamoja na marafiki na jamaa wa karibu juu ya kile unchotaka kufanya
  •  Kuwa mdadisi kwa kuchunguza vitu kwa makini,tembelea maeneo mengine ili kujua wanafanya nini
  •   Fikiri kufanya kiu kipya ambacho hakijafanywa katika eneo ulilopo

Images

Huna sababu ya Kushindwa kugharamia furaha ya Mwenzi wako kwa sababu ukiacha gharama yake ni kubwa...!!! Soma hapa

Black Couple Laughing And Cooking
Huna sababu ya kushindwa kugharamia furaha ya mwenzi wako kwa sababu ukiacha gharama yake ni kubwa. Utakosa kila kitu muhimu ambacho mtu sahihi angependa kupata kutoka kwa mwenzi wake. Na hiyo itakusumbua! Kama hutafikiria, basi utaona kwa wengine na utatamani!

Hapa chini nakuchambulia hasara ambazo unaweza kukutana nazo kwa kushindwa kuhudumia furaha ya mwenzi wako;

Images

Je..!!! Wajua mateso na manyanyaso ya watoto wa nje na walezi wao.. Soma hapa kwa undani zaidi



Natumaini hapo ulipo msomaji wangu utaendelea kufanya uchunguzi wako na hakika utabaini matatizo mengi yakiwemo pia ya urithi wa mali. Lakini wakati ukifanya hivyo ni vyema tukajifunza ufumbuzi wa matatizo ya watoto wa kambo kwa kuangalia yafuatayo:

Images

Mpenzi mwenye sifa hizi ndio anafaa kuwa Mke/Mume wako...!! Soma hapa kwa Undani zaidi

beautiful girl 30 Mind Blowing Curly Hairstyles For Black Women

1- Mpenzi/rafiki wa kweli ni yule ambaye hatangoja kujua nini unahitaji yaani hana sababu ya kusubiri kuombwa ndiyo asaidie au atoe.

2 - Ni yule atakayejua wakati gani huna furaha au una furaha na atakuwa na wewe kwa hali zote mbili.

Images

Porojo na Umbea umeshakuwa mitaji ya watu hapa kwetu.. Soma hapa kwa undani wake..!!




Porojo na Umbea inaweza kufanya maisha yako yaonekane kama sinema. Karibu kila siku unaweza ukasikia porojo kukuhusu wewe, uvumi kwamba una mimba, umetoa mimba mara kadhaa, ama ni mlanguzi wa dawa za kulevya  na wewe hutumia dawa za kulevya. Watu wanasema mambo kama hayo kukuhusu?

Images

Kipindi cha kubalehe kwa Wasichana ni wakati wa mabadiliko makubwa katika mwili... Soma hapa zaidi upate kujua..




Kipindi cha kubalehe ni wakati wa mabadiliko makubwa. Mabadiliko mengine yataonekana wazi. Kwa mfano, homoni zitasababisha nywele ziote kwenye maeneo ya viungo vyako vya uzazi. Pia, matiti, kiuno, mapaja, na makalio yatakuwa makubwa. 

Mwili wako utaanza kubadilika na kuchukua umbo la mwanamke mkomavu. Usiwe na wasiwasi. Hupaswi kushangazwa mabadiliko hayo ni mambo ya kawaida kabisa. Na yanaonyesha kwamba mwili wako unajitayarisha kwa ajili ya wakati ambapo utaweza kupata mtoto!

Images

Je..!! Unawezaje kumtambua Mpenzi wako wa kiume kama yupo tayari kukuoa...!! Soma hapa kwa kujua Dalili hizo..

181776794
Ukijaribu kuchunguza utabaini kuwa wanaume wanaoingia kwenye uhusiano wa kimapenzi na kuoa kila siku ni wengi lakini je wanaoolewa wote wanaingia kwenye maisha ya ndoa na watu sahihi? Jibu ni hapana, na hii ni kwa sababu wanawake wengine wanakubali kuolewa na wanaume ambao hawakujiandaa kuingia kwenye maisha hayo. Dalili zenyewe ni hizi hapa chini.

Images

Tabia za wanafunzi wawapo shuleni ni kutekwa akili zao bila wao wenyewe kujua kwa kufuata tabia za kimakundi.. Soma hapa



Uchunguzi unaonyesha kwamba wanafunzi wengi hubadilika kitabia wanapokuwa masomoni. Hii ina maana kuwa wazazi wanaweza kujitahidi kumuandaa mtoto wao lakini wakajikuta wanapata matokea ambayo hawakuyatarajia.

Images

Utii huu ndiyo unaotajwa kumvutia mwanawake kiasi cha kumfanya kuaamini kirahisi kuwa mwanaume wa maisha yake....... Soma hapa



Imebainika kwamba, wanaume wanaposaka wapenzi, huwa tayari kutii masharti wanayopewa na upande wa pili. Utii huu ndiyo unaotajwa kumvutia mwanawake kiasi cha kumfanya kuaamini kirahisi kuwa mwanaume wa maisha yake ni huyo anayemtongoza wakati huo.

Images

Je..!!! Wajua Faida ya kuoga na Madhara ya kutokuoga mara kwa mara..!! Soma hapa kwa taarifa zaidi..




Kwa kipindi hiki cha mvua na baridi kali watu wengi wamesitisha kuoga mara kwa mara kwa kuogopa kuoga maji ya baridi haswa wale wanaoshindwa hata kuchemsha maji na kwenda kuoga yakiwa ya moto. Wanatupa wakati mgumu sana tukiwa ndani ya daladala tumebanana na harufu kali kutokwa kwenye makwapa na mwili kwa ujumla.

Images

Umuhimu wa Tangawizi na Tiba yake kwa Afya ya Binandamu..!!! Soma hapa Upate kujua Magonjwa yanayo tibiwa na Tangawizi..




Tangawizi ni nini?
Tangawizi ni kiungo ambacho kinatokana na mizizi ya mmea wa Tangawizi. Mmea huu unafanana sana na Binzari ikiwa bado haijamenywa maganda yake.

Pia kama bidhaa inapatikana nchi nzima kwa bei nafuu kabisa na kila mtu mwenye uwezo wowote wa kiuchumi anaweza kununua aidha kwa kipande kimoja, fungu au kwa kilo pia.

Images

Njia ya kisaikolojia ambayo mwanamke anaweza kutumia kumpata mwanaume mwenye kumfaa bila kufanya naye mapenzi...



Wengi wamejikuta wakiitwa wahuni kutokana na kuwa na uhusiano wa kimapenzi na makundi ya wanaume au wanawake. Hata hivyo wachunguzi wa masuala ya mapenzi wanasema idadi kubwa ya wapenzi si kigezo sahihi cha kupima tabia ya mtu na kumhusisha na uhuni.

Ifuatavyo ni njia ya kisaikolojia ambayo mwanamke anaweza kutumia kumpata mwanaume mwenye kumfaa bila kufanya naye mapenzi tena ni jibu sahihi la kuondokana na mchezo wa kubahatisha kwa wanaume wanaosaka wapenzi wa kweli na si taksi bubu ambazo mchana huweka namba za njano usiku nyeusi.

Images

Hebu angalia hisia 8 hatari ili uzikimbie mapema kabla hazijakuharibia penzi lako..!!! Soma hapa



Miongoni mwa vitu vinavyochangia kuharibu uhusiano wa kimapenzi ni hisia. Wapenzi wengi wameachana kwa sababu si kwamba walithibitisha ubaya wa wenzao ila walijijaza wenyewe hisia mbaya na kujikuta wamepoteza thamani ya kupenda. Hebu angalia hisia nane hatari ili uzikimbie mapema kabla hazijakuharibia penzi lako.

Images

Pata kujua Vipingamizi 10 Vitakavyoweza kumfelisha Mwanafunzi katika Masomo yake..!! Habari kamili soma hapa..




UMASIKINI
Umasikini ni kikwazo kikubwa cha mafanikio ya wanafunzi kimasomo, lakini tunashauri kwamba kila mwanafunzi anayetoka katika familia masikini ajitambue na awe tayari kuishi sawa na kipato cha familia yake wakati akitafuta elimu.

Ni muhimu kwake kubana matumizi na asiwe mtu wa kujihukumu kwa kukosa hili na lile, awe mvumilivu na mwenye kuomba msaada kila sehemu anayoona hawezi kuivuka kwa nguvu zake. Uaminifu, bidii na utii unaweza kumsaidia kuvuka kikwazo hiki.

Images

Je..!! Wajua Mambo 10 ambayo yanaweza kumshawishi mwanafunzi kujiingiza kwenye mapenzi.. Soma hapa kwa habari kamili..




Katika mada ya vizuizi vya mafanikio ya kimasomo tumeona suala la mwanafunzi kujihusisha na mapenzi limechukua nafasi ya pili, hii ina maana kuwa wanafunzi wengi hupoteza mwelekeo wa kimasomo baada ya kujiingiza katika ulimwengu wa mapenzi.

Jambo baya kabisa kwa wanafunzi ambao ni wenyeji wa masuala ya kimapenzi hivi sasa hasa wanawake ni kutokukumbuka namna walivyotekwa kimapenzi na wengi kati yao wanadai kuwa haukuwa utashi wao na kwamba walilazimishwa, aidha na watu, mazingira au misisimko ya miili, jambo ambalo si la kweli kisaikolojia.

Images

Je...!! Wajua Faida ya Kucheka mara kwa mara Kunatibu magonjwa mengi kwa Binadamu..!! Soma hapa upate Kujua kucheka kunatibu nini..




Kama wengi wetu tujuavyo, kiwango cha miaka ya kuishi hasa katika nchi za ulimwengu wa tatu kimepungua sana nyakati hizi, hivyo kila tunaposherekea mwaka mpya tunasherekea pia uzee na utimilifu wa miaka yetu ya kufa, lakini hilo lisitupe hofu kwani wataalam wamegundua maajabu yapatikanayo kwa mtu kucheka.

Kwa kutambua umuhimu wa maajabu hayo nimeona ni vema nikaelezea faida za mtu kucheka. Ifahamike kuwa watafiti mbalimbali duniani wamebaini kuwa mtu anaweza kujikinga, kujiponya na magonjwa hatari ya kansa, moyo na kisukari kwa kucheka na isitoshe achekaye anatajwa kuufanya mwili wake usionekane umezeeka hata kama atakuwa na umri mkubwa.

Images

Je..!!! Wajua Umuhimu wa kuwa na Marafiki katika Maisha yako ya Kila siku.. Soma hapa kwa Undani zaidi..



Ni watu wachache wanaofahamu umuhimu wa kuwa na rafiki katika maisha yao. Wengi kati yao wanajikuta katika makundi ya watu bila kujua faida ya kuwa na ushirikiano na wengine.

Uelewa mdogo wa wazazi/walezi umewafikisha katika hatua ya kuwazuia watoto wao kutembelewa na marafiki zao nyumbani na hivyo kuamua kuwafungia ndani ya geti kila wanapotoka shule kwa hofu kuwa marafiki watawaharibu tabia watoto wao.

Images

Jiulize swali hili unampendea nini huyo mpenzi/mke/mume wako..? Soma hapa aina 4 za mapenzi..


Wataalamu wa masuala ya mapenzi wanasema kuna aina nyingi sana za mapenzi miongoni mwa binadamu. Hivyo ni muhimu kufahamu kuwa kupenda kwa mtu mmoja au watu kadhaa hakuwezi kulinganishwa na wengine kwa mazingira na mienendo.

Hebu wakati tunaendelea na mada hii, jiulize wewe mwenyewe ambaye una mke/mume/mpenzi swali kama hili unampendea nini huyo mpenzi wako? Baada ya hapo sababu zinaweza kuwa ni kama zifuatazo “ Nampenda kwa sababu ni mzuri wa sura, tabia, umbo, na kusema kweli ananivutia” la kama hizo hazitakuwa sababu sina shaka nawe utanyamaza au utacheka.

Images

Lazima ufahamu mambo muhimu yatakayokusaidia kurahisisha safari yako kuelekea mafanikio.!! Soma hapa kwa maelezo zaidi..



Kwa kuwa maisha ni kama safari na malengo ndiyo dira, ukianza kuyafanyia kazi malengo yako utagundua unatakiwa kufanya nini ili safari yako ya maisha iwe rahisi. Lazima ufahamu mambo muhimu yatakayokusaidia kurahisisha safari yako kuelekea mafanikio.

Baada ya kuyatambua malengo yako, anza kutathmini kuhusu malengo yako na mahali pakuanzia, yakupasa kutambua kuwa safari yako ina milima na mabonde. Kuna ulazima wa kutafakari kwa kina mambo yanayoambatana na safari yako ya kuelekea kwenye kilele cha mafanikio.

Images

Je..!! Wewe una tatizo la ufahamu mdogo au mwanao ungana nami upate ufumbuzi wa tatizo hili.. Soma hapa kwa Habari kamili..

Taking Tests Helps Improve Learning Capacity In People Of All Ages

Kama wewe ni mmoja kati ya watu ambao wana tatizo la ufahamu mdogo au mwanao ungana nami upate ufumbuzi wa tatizo hili.Uchunguzi unaonyesha kuwa shuleni, kazini na kwenye jamii kuna watu ambao wanadharaulika kwa sababu si wazima katika uelewa. Hali hii imekuwa ikiwauma wahusika hasa pale wanapojaribu kufanya mambo kwa uwezo wao wote na kupata matokeo dhaifu.

Images

Jiepushe kuutoa mwili wako hovyo kwa vile umependa bila kujua mwenzako naye anakupenda..!! Soma hapa kwa makini..




Kila kiumbe kina utashi wa kupenda kwa vile upendo ndiyo tuliohimizwa sisi wanadamu, lakini ukizidi unakuwa ugonjwa ambao huenda usipate dawa.

Kupenda bila kujielewa ni sawa na wendawazimu, hata unapokuwa ndani ya penzi hilo lililokutia wendawazimu, unapoteza kujiamini kwa kuogopa kulipoteza penzi ulilolitafuta kwa muda mrefu.

Images

Je..!!! Wajua Madhara ya Kuwa na Marafiki Waliokata Tamaa.. Soma hapa kwa undani zaidi...

A woman smokes marijuana

Mawazo yetu yakitupa majibu kwamba vitu tunavyotaka kuvifanya vinawezekana bila shaka tunaweza kutenda hata kama vitakuwa vigumu kiasi gani kwa sababu mawazo yanayotuongoza hupita vikwazo vya matatizo yetu.

Kwa upande mwingine chochote tunachoamini kuwa hakiwezekani, hatuwezi kuwa na msukumo wa kujaribu kwa vile hofu ya kushindwa huongeza udhaifu wa mwili, wanasaikolojia maarufu wamethibitisha hili.

Images

Je..!! Wajua jinsi ya kukutoa kwenye hali ya kuboreka na kukurudisha kwenye furaha na uchangamfu.. Habari zaidi soma hapa...



Maisha tunayoishi yamejaa kazi zinazosababisha watu wengi kuboreka. Tangu asubuhi tunapoamka, tunakutana na mambo mengi yanayozichosha akili zetu na kutuletea msongo. Zifuatazo ni dondoo nyepesi zinazoweza kukutoa kwenye hali ya kuboreka na kukurudisha kwenye furaha na uchangamfu.