Siri Ya Mafanikio

Siri Ya Mafanikio
WASILIANA NASI KWA KUTOA USHAURI, MAFUNZO MBALIMBALI YA UJASIRIAMALI NA KUFICHUA SIRI YA MAFANIKIO KUPITIA Email; siriyamafanikio@gmail.com Au Phone; 0766912725

BIASHARA YA KUKU, BATA, VIFARANGA NA MAYAI KWA ODA PIGA NAMBA HII 0766 912725

BIASHARA YA KUKU, BATA, VIFARANGA NA MAYAI KWA ODA PIGA NAMBA HII  0766 912725
Images

Jinsi wanawake wanavyo nyanyasika kwa waume zao baada ya kupata Mimba.. Soma kisa cha Dada huyu hapa…

pregnant1


"Mimi ni mwanamke wa 25 nimeolewa miaka 3 iliyopita kwa sasa ni mjamzito hivyo niliacha kwenda kazini tangu mimba hii ilipoingia kutokana na matatito ya kiafya. Mume wangu ana nafasi nzuri kazini na kipato chake kinakidhi mahitaji ya familia yetu.

Baada ya matumizi muhimu kwa kawaida najua anabakisha kama laki 5 kila mwezi lakini hakuwahi kunijulisha kama ana pesa hizo au ana plan gani na mabaki hayo ya pesa, nikimuuliza anasema hana pesa.

Images

Biashara ya kununua mahindi, kukoboa, kusaga na kuuza unga wa sembe kwa wateja. Hii ni Biashara nzuri kama utakuwa makini kwenye utekelazaji wake..



Leo hii nitazungumzia biashara ya kununua mahindi, kukoboa, kusaga na kuuza unga wa sembe kwa wateja. Hii ni biashara nzuri sana kama utakuwa makini kwenye utekelazaji wake.

 Leo tutazungumzia upatikanaji wa mahindi na Mambo unayotakiwa kuangalia ni kama ifuatavyo:

Images

Pata kujua Sababu mbalimbali zinazochochea tatizo la Kunuka kwa Kikwapa..!! Soma upatekujua Jinsi ya Kujikinga




Kwapa ni moja ya maeneo yanayoweza kuleta karaha kutokana na baadhi ya watu kukabiliwa na harufu inayofahamika kama ‘kikwapa’.

Zipo sababu mbalimbali zinazochochea tatizo hili, moja kubwa kati ya hizo ni uvivu wa kuoga na kuacha nywele nyingi kwapani. Wakati mwingine huachwa hivyo hadi kubadilika rangi na kuwa nyeupe au njano na kujisokota.

Mtu anapotoa jasho,  bakteria wanatumia nafasi hiyo kwenda kwenye jasho kujipatia chakula. Kadiri vijidudu hivyo vinavyozidi kuwa vingi  harufu nayo inazidi.

Images

Mambo 10 Ambayo Mwanaume Anatathiminiwa na Mwanamke kipindi wakikutana Kwa Mara ya Kwanza.. Pata kujua ni Mambo gani hayo..!!



Ngoja nikwambie wasichana hukufikiriaje wakikuona siku ya kwanza.

1.Kwanza hutazama tembea yako, kisela au kiheshima ili wajue kama una kazi au la.

2.Kama nguo zako zimefubaa unatembea juani, kama hazijanyooshwa basi hata pasi kwako huna.

Images

Je..!!! Unataka kuanzisha Biashara ya Mkaa... Soma hapa upate Muongozo mzuri katika Biashara yako hiyo ya Kuuza Mkaa.




Ni muda muafaka sasa kwa vijana waliomaliza masomo kutafakari kujiajiri badala ya kuajiliwa. Leo hii nitazungumzia jinsi ya kuanzisha biashara ya kuuza mkaa. Mambo nitakayoangalia  ni kama ifuatavyo:

Images

Utafiti umegundua kwamba kuna idadi kubwa ya wanawake na wanaume wanao sumbuliwa na tatizo la kuwa na matumbo makubwa..

Cancer obese woman obesity UK Britain


Utafiti  umegundua  kwamba  kuna  idadi  kubwa  sana  ya wanawake  na  wanaume  wanao  sumbuliwa  na  tatizo  la  kuwa  na
matumbo  makubwa  kiasi  ama  vitambi  kwa  lugha  nyingine. Uchunguzi
 wetu  umetuwezesha  kubaini  kuwa  katika  watu  kumi  wanao  tembea
bararani  angalau  watatu  kati yao  wanasumbuliwa na  tatizo la
kitambi.

Images

Unapokua na mpenzio hakikisha unatumia sauti yako ipasavyo katika kunakshi maongezi yenu na kuyafanya yawape furaha..




Sauti siku zote ina maana kubwa sana katika mtiririko wa wewe kujua mwenzako ana maanisha nini. Sauti vilevile inaweza kukupa picha ya mzungumzaji jinsi alivyo kutegemeana na ongea yake.Sauti huwezesha lugha yako unayoiwasilisha kueleweka vizuri kwa msikilizaji endapo utaitumia ipasavyo.

Images

Fikiria hatari za kujaribu kupata marafiki katika Intaneti, Wengine hata huomba mzungumzie mambo machafu ili kujisisimua kingono..

laptop615.jpg


Vijana wengi hutumia Intaneti kuanzisha na kuendeleza urafiki. Inasisimua kujua kwamba unaweza kukutana na watu kutoka sehemu mbalimbali za ulimwengu, watu ambao hungepata kuwajua kamwe. Unaweza kuwafanya watu wakuone vyovyote vile unavyotaka, Unapozungumza na mtu uso kwa uso, asipopendezwa nawe, hakuna lolote unaloweza kufanya.

Images

Pata kujua aina mbili za Umasikini unao tukabili katika maisha yetu ya kila siku, Soma hapa kwa habari zaidi..



Katika dunia ya sasa watu hununua mahitaji yao kwa kutumia pesa. Kama hawana njia za kupata pesa watakuwa maskini. Umasikini mbaya zaidi ni ule ambao unawafanya watu wasiweze kupata chakula. Kwa hali hiyo, wanakuwa dhaifu na wanaweza kufa kwa njaa. Hali nyingine ya umasikini ni ile ambayo watu wanaweza kuwa na chakula kiasi au kidogo lakini hawana maji salama, huduma za matibabu, nyumba au mavazi bora.

Images

Madhara yanayoambatana na utoaji Mimba ni Vifo, kupoteza damu nyingi, Zingine soma hapa kwa Makini zaidi..!!!

Pregnant woman 5-11-12



Madhara yanayoambatana na utoaji mimba ni vifo, kupoteza damu nyingi, kifafa cha uzazi na maambukizi hatarishi katika mfuko wa uzazi au mirija ya uzazi. Haya yote yanaambatana na homa kali na maumivu makali, kutunga usaha kwenye kizazi na kulazimika kufanyiwa upasuaji wa dharura au haraka kitaalamu; kikubwa mara nyingi ni kifo.

Images

Serikali leo imepiga Marufuku kwa Mawakala wa kutafutia watu Kazi kwenye Kampuni mbalimbali.. Kisa kipo hapa




Serikali leo imepiga marufuku kwa mawakala wa kutafutia watu kazi kwenye kampuni mbalimbali, kisa ni kutia hasara serikali na kuwa nyonya waajiriwa kwa makato makubwa yanayoenda kwa mawakala hao na kumuachia muajiriwa hela ya mboga tu. 

Kazi kupata mpaka uwe na mtu unaemfahamu akufanyie mipango au utoe rushwa kwa waajiri katika ofisi wanao toa kazi.

Images

Je..!! Unajua Tofauti ya Mjasiriamali na Mfanya Bishara Ndogo Ndogo... Soma hapa kujua tofauti zao




Watu wengi wamekuwa wakitumia neno Mjasiriamali kama mfanya biashara ndogondogo, kuna uhusiano baina ya ufanyaji biashara ndogo ndogo na Ujasiriamali, lakini hakuna usawa kati ya vitu hivi viwili kwa dhana zifuatazo:

Kiasi cha Fedha na Utajiri.
Mfanya biashara ndogo ndogo mara nyingi hulenga kujipatia kipato cha kujikimu kutokana na ukosefu wa kazi ya kuajiriwa au ugumu wa maisha na maisha huwa hayana matarajio makubwa sana.
Mjasiriamali hufanya biashara au shughuli yake kwa malengo na matarajio ya kujipatia kipato cha kutosha kujikimu, kufanya mambo ya maendeleo na hatimaye kuwa tajiri Mkubwa kwa kuwekea mkazo shughuli zake kwa misingi muhimu ya maendeleo.

Malengo na muda wa Mafanikio
Mfanya biashara ndogondogo anaweza maliza muda mrefu, hata maisha yake yote ikibidi kwa kujipatia kipato kidogo sana, wakati Mjasiriamali huwa na ari na kasi ya ya shughuli yake kwa kuwa na malengo na kuyaendea kwa kasi hiyo ili kupata mafanikio na kujitengenezea utajiri ndani ya muda Fulani mfano ndani ya miaka 3.

Hatari za kibiashara na kuziendea mbio nafasi.

Mjasiriamali huangalia hatari zinazoikabili biashara au shughuli yake na kuwa na tahadhari za kutosha kujiepusha na madhara yanayoweza kuepukika ili azidi kusonga mbele, pia huzitolea macho fursa zinazopita mbele yake au kwa wengine na ku improvise(kuzinadia kwa upande wake) kwa mfanya biashara ndogo ndogo wa kawaida hili halimshughulishi sana ili mradi anauza kidogo, na chakula kinapatikana basi siku zinaenda.

Uvumbuzi na Ubunifu.
Mjasiriamali hufanya Uvumbuzi na Ubunifu zaida ya mfanya biashara ndogondogo wa kawaida, uvumbuzi huu humpa changamoto zenye faida ambazo hupelekea kutajirika, Uvumbuzi huu huwa katika bidhaa au huduma husika au katika utaratibu wa kibiashara katika kufikisha kwa wateja/watumiaji wake.

Images

Jiulize maswali haya 4 kisha utapata jibu kuhusu Ndoa yako... Je umeoa/kuolewa na mtu uliyemtaka; ni chaguo lako halisi?




Kumekuwa na wanandoa wengi hivi sasa wakijilaumu kwa nini wameoa/kuolewa kwani maisha ya kindoa yamekuwa magumu kutokana na dunia ya leo imejaa wivu, tamaa na vishawishi vingi vitakavyo mfanya mtu awe mwepesi kutoka nje ya ndoa zao.

Images

Njia zifuatazo Humsaidia Mtu kutambua Fursa ya Biashara... Pata kuzijua njia Hizo Hapa

Fursa ni mapengo ya mahitaji yaliyoko katika jamii yanayohitaji kuzibwa.   Kwa maana ingine fursa ni hitaji, nafasi au changamoto au mazingira fulani ambayo mjasiriamali hutumia kuibua wazo la biashara. Wazo la biashara ndio chimbuko la biashara.

Images

Wanasaikolojia wanatuambia, Tumezaliwa na aina Mbili tu za Hofu.. Soma hapa Upate kujua Aina Hizo za Hofu..!!!

beauty and fear
Adui yetu mkubwa katika maisha ya leo, labda kuliko maadui wengine wote unaowafahamu ni hofu.Tuna hofu ya kupoteza kazi, hofu ya kuugua, hofu ya kufa, hofu ya kupoteza mpenzi, hofu ya kuanzisha biashara yako au labda hata hofu ya kukuza biashara yako, hofu ya kukosa mitaji n.k, kwa ujumla tuna hofu za aina nyingi zinazotuzunguka kila siku.

Images

Mjasiriamali yeyote Lazima Afanye Mambo 10 Muhimu Ili aweze kupata Mafanikio katika Ujasiriamali Wake.. Jifunze zaidi Hapa Ujasiriamali




1.     Ni mtu anayekerwa na hali ilivyo(uncomfortable with status quo) na yupo tayari kuwekeza muda,akili na nguvu zake ,pamoja na rasilimali chache zingine alizonazo, kujaribu kuibadilisha.

2.     Anafahamu ni kazi kubwa kubadili hali ilivyo sasa lakini,yupo tayari kukabiliana na vikwazo ili kufikia lengo lake(ready to pay the price).

Images

Ni kawaida kwa Binadamu kuwa na Hofu pale anapofanya jambo lolote kwa mara ya kwanza, Pata Habari Kamili Hapa Jinsi ya Kuondoa Hofu Hiyo




Ni kawaida kwa binadamu kuwa na hofu pale anapofanya jambo lolote kwa mara ya kwanza. Yaweza kuwa ni mara yako ya kwanza kwenda shule ( labda darasa la kwanza, kidato cha kwanza au mwaka wa kwanza chuo kikuu).

Lakini vilevile inawezekana ni mara ya kwanza kuanzisha biashara, au ni mara yako ya kwanza kuoa au kuolewa au ni mara yako ya kwanza kusafiri kwa ndege au meli,au labda ni mara yako ya kwanza kuchangia katika mjadala fulani,mara ya kwanza kuajiriwa au kujiajiri au pia inawezekana ni mara yako ya kwanza kufanya mapitio(review) ya makala kama hii na kutoa maoni yako.

Images

Watu wengi huzani kuwa Harufu mbaya itokayo Ukeni ni matokeo ya Uchafu na kutojisafisha Vizuri. Soma hapa Kujua Jinsi ya Kujikinga Kutoa Harufu Mbaya

Good or bad? While some detect the aromatic smell of sandalwood from a scented candle, others smell it as pee


Wanawake na watu wengi huzani kuwa harufu mbaya itokayo ukeni ni matokeo ya uchafu na kutojisafisha vizuri. Matokeo yake huongeza jitihada katika kujisafisha bila mafanikio ya kuondokana na tatizo hili. Kihalisi, badala kusuluhisha, unapojisafisha zaidi ni unaongeza tatizo badala ya kutatua.

Japokuwa ni kweli mara nyingine inaweza ikawa ni sababu ya uchafu. Ila mimi naamini walio wengi huwa wanazingatia usafi. Ndo maana nimeona leo tupeane mawazo juu ya tatizo hili, na kujua namna ya kujikinga

Images

Kuelezea Uzuri wa Bidhaa zao na Kusahau kabisa nini Muhimu kwa Mteja, na kwa kufanya hivyo mara nyingi.......




Kuna hatua chache tu za kufuata kama unataka kuuza chochote kile; kwanza ni kumuonyesha na pengine kumfafanulia anayetarajiwa kuwa mteja wako kwamba kuna tatizo au kuna kitu kinakosekana, jambo la pili ni kumuelezea suluhisho la tatizo lake na jambo lingine ni kumfanya aamini kwamba wewe na bidhaa yako ndio suluhisho pekee au bora kwa tatizo/matatizo yake na mwisho ni kutoa suluhisho kwa makubaliano fulani.

Images

Chukua hatua Zozote zinazohitajika ili Umhakikishie Mwenzi wako. Je, uko tayari kufanya hivyo?




Jambo kuu ni kuwa mnyenyekevu na kufuata ushauri. Kwa kufanya hivyo ‘utajifaidi mwenyewe’ na mwenzi wako.  Fikiria hatua mbili unazoweza kuchukua.
Tenga wakati kwa ajili ya mwenzi wako

Images

Mifano Michache ya Biashara ambayo Mtu anaweza Kuanzisha na Kujiongezea Kipato.. Soma hapa Uwezo Kujua Biashara Hizo




Kila mtu ana uwezo wa kuanzisha biashara ya kwake tofauti na mtu mwingine. Ifuatayo ni mifano michache ya biashara ambayo mtu anaweza kuanzisha na kujiongezea kipato.

Images

Familia bora hutegemea Muongozo mwema wa Wazazi Kwani wao ndiyo Walimu wa kwanza kwa Mtoto




Kama inavyojulikana wazazi wawili ndiyo muongozo wa familia, baba akiwa kichwa cha familia akifuatiwa na mama. Siku zote familia bora hutegemea muongozo mwema wa wazazi, kwani wao ndiyo walimu wa kwanza kwa mtoto.

Images

Epuka Ndoa yenu kwenda mara kwa mara kwa Wasululishi.!! Jifunze Unyenyekevu, Ukikosea kuwa wa kwanza kuomba Msamaha

amicable divorce livonia mi


MAPENZI ni furaha, lakini siyo wote hubahatika kuwa katika furaha hiyo. Makosa fulani yakifanyika, ama kwa kujua au kwa bahati mbaya huwa mwanzo wa kupoteza furaha katika mapenzi.

Kwa bahati mbaya sana, baada ya kupoteza furaha ni vigumu kuirudisha kwa haraka, hata kama ulikuwa na mwenzi mwingine kwa muda mrefu lakini baada ya kugundua matatizo yake na kuachana naye, utapata shida sana kupata mwingine.

Images

Unaweza kufanya nini ili Kuimarisha Uwajibikaji wako kwa Mwenzi wako.? Pata Kusoma ushuhuda Hapa...!!!

Bad move: Research has found that laptops in bed can seriously affect a couple's relationship


Mke anasema: “Nilitambua kwamba kwa muda fulani mume wangu Michael alikuwa amepunguza upendo wake kwangu na kwa watoto wetu. Tabia zake zilibadilika mara tu tulipoanza kutumia Intaneti, na nilishuku kwamba alikuwa akitazama ponografia (picha au habari za ngono) kwenye kompyuta. 

Images

Zijue Kanuni na Taratibu za uvunaji, usafirishaji na biashara ya mazao ya misitu!!

Timber Seasoning
1. Utangulizi
A: Usajili
Kila mfanyabiashara wa mazao ya misitu na nyuki anatakiwa na sheria kujisajili katika ofisi za meneja misitu wilaya wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania au ofisi nyingine za misitu zilizoteuliwa kutoa hati hizo. Ada za usajili kwa shughuli mbalimbali zimetajwa katika sheria ya misitu Na. 14 ya 2002.

Images

Soma hapa Kama Wenzako Wanakuonea Mpaka Wanakukosesha Raha ya Kuendelea Kuishi.!!!

How to indentify different counties in Kenya (People Fighting Styles)


Kuonewa si jambo dogo. Uchunguzi fulani nchini Uingereza unasema inaonekana kwamba zaidi ya asilimia 40 ya ripoti katika vyombo vya habari vya kitaifa kuhusu vijana wanaojiua zilisema kwamba kuonewa kulichangia sana kuwafanya wajiue.

Kuonewa hutia ndani mengi kuliko kushambuliwa kimwili. Kunaweza pia kutia ndani mambo yafuatayo. 

Images

Hatua 3 ambazo Ndoa hupitia katika Maisha ya Mume na Mke. Pata kujua Hatua Hizo Hapa!!!




Takriban katika maisha ya wanandoa walio wengi kama sio wote, ndoa zao hupitia katika vipindi tofauti. Kama ulivyo umri wa Binadamu, ndoa hupitia katika kipindi cha utoto, ujana na uzee, na kila kipindi kina mambo yake na taratibu zake ambazo kama wanandoa watashindwa kuzifuata basi huenda ndoa hiyo ikakumbwa na mtihani mkubwa, nao ni mtihani wa kuchokana.

Utoto wa Ndoa: Wengine hukiita kipindi hiki (Honey Moon) mwezi wa asali, kipindi cha raha, utulivu, mapenzi, maelewano baina ya wanandoa. Si lazima kiwe mwezi mmoja kama watu wengi wanavyoamini, bali kinaweza kikawa chini ya mwezi mmoja au zaidi ya mwezi mmoja.

Images

Usikosehe haya ukakosa mke/mume!!




Maamuzi ya kuoa au kuolewa, si maamuzi madogo, ni moja ya maamuzi makubwa ambayo vijana wengi wa kike na wa kiume wana kutana nayo kila siku. Sasa katika kufanya maamuzi haya ukweli ni kwamba sehemu kubwa ya vijana mpaka wafike mahali pa kumpata kijana au binti wa kusema huyu ndiye haswa wa kuoa/kuolewa nae.

Lengo la waraka huu mfupi kwako kijana mwenzangu ni kutaka kukueleza sababu kadhaa ambazo kupelekea vijana wengi kufanya makosa katika kutafuta mwenzi wa maisha.

Images

Biashara ya Asali Inavyolipa..

bees © Éric Tourneret


HAWAHITAJI mtu wa kuwachunga kwa ajili ya malisho au maji, hawana shida ya kumuona daktari kwa ajili ya matibabu, hata mlinzi hawana haja naye, wenyewe ni hatari tupu kwa adui yeyote atakeyesogea.

Gharama ya kuwafuga haifikii ya ng’ombe, mbuzi, kondoo, au kuku. Wanyama hawa wanahitaji fedha za kununua chakula, maji, na dawa ili kuhakikisha wanakuwa na afya bora.

Mbali na kutokuwa na gharama hizo, lakini nyuki wamekuwa wakimpatia Bahati Mhapa kitita cha zaidi ya Sh6 milioni kiulaini kila mwaka. Pia amekuwa akitumia asali kwa ajili ya matumizi ya nyumbani.