Utafiti
umegundua kwamba kuna idadi kubwa sana ya wanawake
na wanaume wanao sumbuliwa na tatizo
la kuwa na
matumbo makubwa kiasi ama vitambi kwa lugha nyingine. Uchunguzi
wetu umetuwezesha kubaini kuwa katika watu kumi wanao tembea
bararani angalau watatu kati yao wanasumbuliwa na tatizo la
kitambi.
matumbo makubwa kiasi ama vitambi kwa lugha nyingine. Uchunguzi
wetu umetuwezesha kubaini kuwa katika watu kumi wanao tembea
bararani angalau watatu kati yao wanasumbuliwa na tatizo la
kitambi.
Sababu kuu za tatizo la kitambi ni pamoja na;
1. Ulaji mbovu wa vyakula ( Ulaji usio zingatia mlo kamili ).
Ulaji
mbovu wa vyakula unajumuisha ulaji wa
vyakula vya aina
moja kwa wingi kupita kiasi bila kuzingatia aina nyinginezo,
mfano ulaji wa vyakula vya mafuta mafuta kwa wingi kupita
kiasi.
2. Unywaji wa pombe kupita kiasi
3. Kutofanya mazoezi ya mwili na viungo pamoja na sababu nyinginezo.
Athari za tatizo la kitambi ni pamoja na :

1. Kuwa katika hatari ya kushambuliwa na magonjwa ya hatari
kama vile kisukari, moyo na presha.
2. Kutokuwa na uwezo wa kumudu tendo la ndoa ( kwa wanaume )
3. Kupunguza mvuto wa kimapenzi ( kwa wanawake na hata wanaume pia )
4.Kupoteza fedha na muda mwingi katika kuhangaika kutafuta
tiba ya tatizo pamoja na athari nyinginezo lukuki.
Kuna wauzaji wengi wa dawa mbalimbali za asili inayo tibu tatizo la kitambi ama tumbo kubwa na unene kupita kiasi. Watafute watakusaidi kutatua matatizo yako.
0 comments: