Kila mtu ana uwezo wa
kuanzisha biashara ya kwake tofauti na mtu mwingine. Ifuatayo ni mifano
michache ya biashara ambayo mtu anaweza kuanzisha na kujiongezea kipato.
A. WAFANYABIASHARA WA
REJAREJA
1. Vibanda
vya bidhaa
2. Wachuuzi
wa matunda na mboga
3. Wauza
mitumba
4. Maduka
ya samani
5. Vituo
vya mafuta
6. Maduka
ya vyakula
7. Duka la
matunda na mboga
8. Duka la nguo na viatu
9. vifaa
vya nyumbani na shamba
10. Duka la vifaa vya umeme
11. Maduka ya mashine za
shamba
12. Duka la vifaa vya kuandikia
13. Duka la madawa
14. Duka la kuoka mikate
15. Duka la bidhaa mchanganyiko
16. Duka la sare za shule
17. Duka la nyama
B. WAZALISHAJI NA WAKULIMA WADOGOWADOGO
1.
Mpakiaji bia katika chupa
2.
Mpakiaji soda katika chupa
3.
Watengenezaji wa samani na mbao
4.
Wayeyushaji wa chuma
5.
Mafundi cherehani
6.
Kazi za mikono( vikapu, mitingu, vyungu)
7.
Wafumaji
8.
Wasuka mikeka
9.
Watengeneza matofali
10.Wachoraji
/waweka alama
11.Wchoma
mkaa
12.Wafugaji
kuku wa mayai
13.Wafugaji
wa kuku wa nyama
14.Wafugaji
wa nguruwe
15.Wasindikaji
wa maziwa na nyama
16.Wakulima
wa mboga
17.Wakulima
wa mazao
C. WAFANYABIASHARA WA JUMLA
1. Bidhaa za kilimo
2. Vifaa vya ujenzi
3. Wauza nafaka
4. Wauza mbao
5. Maduka ya jumla
D. WATOAJI WA HUDUMA
1.
Madaktari
2.
Kliniki
3.
Benki
4.
Mafundi magari
5.
Mafundi redio
6.
Mafundi umeme
7.
Huduma ya kujenga na kusafisha ofisi
8.
Huduma ya ulinzi
9.
Shule za chekechea
10.
Baa au vilabu
11.
Migahawa
12.
Mafundi baiskeli
13.
Wanoaji visu
14.
Hoteli
15.
Kituo cha uhandisi
16.
Makadarasi wa ujenzi
17.
Mafundi bomba
18.
Mawakala wa huduma za umeme
19.
Taasisi ya ushauri wa biashara
20.
Huduma za stationery
0 comments: