Dalili za mwanamke anayetembea nje
ya ndoa au nje ya mpenzie
Kuna dalili nyingi ambazo
zinajitokeza, lakini ukiona zaidi ya dalili mbili zinajitokeza kuna uwezekano
mkubwa wa kitu kinachoendelea nje ya mahusiano yenu au ndoa yenu.
Maumbile
Viungo vya uzazi vya mwanamke kwa kawaida bila kuwa
na matumizi ya mara kwa mara au muda mrefu husinyaa misuli yake, lakini
inapotokea kuonekana mnapokutana amekuwa si kawaida kama ulipokutana naye mara
ya mwisho. Ujue anamahusiano nje yako.
Matiti
Kwa kawaida maembe huwa laini yanaposhikwashikwa,
na pale yasiposhikwa shikwa huwa magumu, na itokeapo huna mahusiano labda kwa
safari au malezi ya mtoto na vinginevyo na kisha kukuta hali hiyo ujue kuna big
baby anayetumia.
Mitindo
na mazoea ya mahusiano
Pale inapojitokeza madai yasiyo ya
kawaida kufanywa na kwamba bila hivyo hajisikii vizuri, jambo ambalo hakuzoea,
na inapotokea anaonekana kama mzoefu wa mtindo huo, ni dalili tosha kwamba kuna
anayemzoesha hayo huko aendako.
Watoto
wadogo husaidia kutoa siri
Kumchongea mama kwa baba ingawa
anachoongea huwezi kuelewa
Inapotokea kama ana mtoto basi baba
anaporudi utaona hata kama ni mtoto wa umri wa miaka miwili na nusu and up
anaonekana kuongea mambo ya kukueleza baba kwa mkupuo uanapofika tu kana kwamba
anamchongea mama yake jambo ambalo halijazoeleka, mtoto anapoongea hivyo
utamwona mama yake anamwangalia kwa makini sana ujue kuna kitu mtoto anakiona
kisicho cha kawaida kinachofanywa na mamake.
Kwa kawaida mtoto mdogo
anaposhuhudia mtu asiye baba yake akifanya mambo hayo kwa mama yake anafikiri
anamwadhibu, na kwa kawaida kama ni mtu wa karibu anapotembelea nyumbani
utashtukia mtoto analia sana anapomwona mtu huyo humwogopa na kumkimbia, kitu
ambacho si cha kawaida kwake, pengine anaweza akamfananisha na mtu anayemwona
mara nyingi katika shuhguli hiyo, hata hivyo watoto makini sana kwa kunasa sura
ya mtu kwa kawaida hawakosei.
Kutopenda
kuondoka na mtoto
Inapotokea mtoto kuonyesha dalili
hizo mama anaanza kuwa na mazoea ya kutopenda kutoka na mtoto anapoenda
matembezini au shopping, hii ina maana kuendelea kuwa na mtoto pengine
anavuruga malengo yake na watu wake. Ikumbukwe kwamba kabla hakuona shida
kuondoka na mtoto ko kote aendako.
Kanisani
au msikitini
Pamoja na kuwa na mazoea ya kwenda
kanisani na kuwa mcha Mungu, inatokea hasa kwa wakristo wakatoliki au
waanglikana wenye mazoea ya kushiriki komunyo anaanza kutoshiriki bila sababu
za msingi. Baada ya hapo anaanza kutoshiriki ibada na moja kwa moja dhamiri
inakufa kabisa hahudhurii kanisani, ni dalili tosha kwamba dhamiri inamshtaki na
hivyo ameona bora kuendelea kujiburuza matopeni.
Kuondoka
bila kuaga aendako
Kwa kawaida watu wanaoishi pamoja
wanakawaida ya kuagana wapi mwenzake anaenda na iwapo inapotokea tatizo rahisi
kufuatilia maelekezo aliyotoa kwamba wapi anaenda. Lakini ghafla utaona hapendi
kabisa kuaga na pengine anakuwa na kawaida ya kuondoka ghafla kabisa na
ukimwuliza anakuwa mkali na anakuambia tu naenda mahala nitarudi na hataki
kumchukua mtoto. Ujue kuna kitu kinachoendlea huko aendako.
Zamu
za kazi za usiku hasa manesi na wanajeshi
Wenye zamu za usiku inaweza kutokea
maelezo ya overtime za mara kwa mara usiku. Ukivinjari maeneo ya kazi
kutembelea kuona kama yupo kazini au la utakuta kama ana gari haionekana eneo
la kazi. Jaribu kuulizia uongozi unaona wanashangaa kwamba mbona yuko off duty.
Hapo kuna kinachoendelea juu ya paa la nyumba nyingine.
Vurugu
nyumbani
Ugomvi usioisha wa mara kwa mara,
pengine unaweza kushangaa hata sababu haieleweki na anazua jambo tu la ugonvi
ujue kuna kitu kinamwasha anamkumbuka mshikaji wake wa huku nje ujuavyo
waswahili husema vya wizi vitamu zaidi kuliwa kuliko vya mazoea.
Pengine hataki kabsa kuuonyesha ushirikiano wowote wakati wa sex.
ReplyDelete