Kumekuwa na wanandoa wengi
hivi sasa wakijilaumu kwa nini wameoa/kuolewa kwani maisha ya kindoa yamekuwa
magumu kutokana na dunia ya leo imejaa wivu, tamaa na vishawishi vingi vitakavyo
mfanya mtu awe mwepesi kutoka nje ya ndoa zao.
Jiulize
maswali haya 4 kisha utapata jibu kuhusu ndoa yako;
1. Kama
ungejua mumeo au mkeo atakuwa na tabia aliyonayo sasa ugekubali kuoana naye?
2. Je umeoa/kuolewa na mtu uliyemtaka; ni chaguo lako halisi?
3. Sababu gani zinakufanya uendelee kuishi na mkeo/mumeo hadi sasa Je (watoto, sababu ndoa ya kikristo haina talaka/wazazi watakulaani ukitengana nae/navumilia/bado nampenda/ tunaishi kwa mazoea?)
4. Sababu gani iliyokufanya uwe na uhusiano wa kingono nje ya ndoa?(kuchuja kwa mwenzako, tamaa ya mwili, marafiki wabaya, kasoro ya kimaumbile ya mwenzangu, tamaa ya mali/ kukosekana kwa maelewano ndani ya nyumba).

Tuweni makini katika ndoa zetu..
0 comments: